Mkuu tupe mrejesho wa LimshangaziWakuu, mwez wa pili
Nmepatana na lishangazi lenye kinu wazimu . Yaan heavyweight subwoofer. Name ni American bass 3000w 1500w RMS with 12inches
Wazee hii sub ni nzito kinoma.
Ni AMERICAN BASS XFL-1244 3000W
Specs (each):
• MAX Power Handling: 3000W
• RMS Power Handing: 1500W
• Impedance: DVC 4 Ohm
*Frequency responce 20 - 250 Hz
* resonance frequency ni 33.6 Hz
• Mounting Diameter: 11.30"
• Mounting Depth: 8.375"
• Weight: 40 lbs.
Features:
• 3.00" Aluminum Voice Coil
• Die Cast Aluminum Basket
• Carbon-Kevlar Enforced Paper Cone
• Multilayer High Density Foam Surround
• Triple Stacked 200oz. Magnet Structure
• Cooling Pump Motor Design
• Uni-Rubber Gasket and Rubber Motor Boot
Hopefully unapata smooth deep bass with crystal clear and clarity sound. coz Harman kardon si haba wanajiweza kwenye industry.Kula chuma hicho hii ni receiver ya harman kardon avr 161s na pia ina subwoofer harman kardon TS18 ambayo booster yake ilikufa nimeifungia booster ya mzk wa gari ile ya bass tu sasa imekuwa tamu zaidi kuliko awali ni hatariiiiiii.. hiyo receiver ina channel 5 na kila channel ni 85 watts really kbs achana na system za kichina unaandikiwa 200 w kumbe ni 30w tu nadhan wazee wa muziki mnajua 85 watts kwa kila channel ni hatari kiasi gn.
Zile seapiano 1002 ni 80watts tu nayo si really lakini uswaz wanaimba ngonjera inapiga sn sasa compare na hii receiver chukua 85 mara 5 ndo watts za receiver yote hapo unapgia mid na twita tu maana bass linajitegemea lina 200 watts [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji2956]
Mimi natumia avr mwaka wa 6 huu,toka nimeingia huko sitatoka tena, ni mziki wa maaana sana, unakupa options nyingi sana za mziki na movie ambazo huwezi kupata popote both analogy and digitalNilipita Grok na Chat GaPT nikaweka battle hili la
AVR vs Sound bars
AVR ni nzuri kama huko kwako, wire nyingi ila ina kupata mziki,.punchy za maana na movie effects za uhakika zaidi.
Sound bar ni kwa ajili ya sisi wapangaji less wire and easy plug n playView attachment 3602534View attachment 3602535
Mkuu, nikihitaji km hii natakiwa niandae budget kiasi gani?Kula chuma hicho hii ni receiver ya harman kardon avr 161s na pia ina subwoofer harman kardon TS18 ambayo booster yake ilikufa nimeifungia booster ya mzk wa gari ile ya bass tu sasa imekuwa tamu zaidi kuliko awali ni hatariiiiiii.. hiyo receiver ina channel 5 na kila channel ni 85 watts really kbs achana na system za kichina unaandikiwa 200 w kumbe ni 30w tu nadhan wazee wa muziki mnajua 85 watts kwa kila channel ni hatari kiasi gn.
Zile seapiano 1002 ni 80watts tu nayo si really lakini uswaz wanaimba ngonjera inapiga sn sasa compare na hii receiver chukua 85 mara 5 ndo watts za receiver yote hapo unapgia mid na twita tu maana bass linajitegemea lina 200 watts 😀😀😀🤣🤣😂🤩
Hapa bongo hawana, ila hapo kwa jirani kenya wanavyo kibao,pitia page ya istagram inaitwa sound solutions, ujikadirie mfuko wako,ila ukikuta sub inazwa 3m usishangae mambo ya SVS subs na vitu ya Polk audio spekers, avr za kuanzia 1.5m na kuendelea, kiufupi ujipange walau kuanzia 6m kwa vitu vipya,ila kwa used complite set hapa bongo andaa 1.5Mkuu, nikihitaji km hii natakiwa niandae budget kiasi gani?
Kuanzia laki 4 unapata reciever ya kampuni yoyote bila spika hata 1, bass ni ww unajipimia unataka ya nchi ngapi 8, 10, 12 au 15 bei kuanzia laki 3 mpk laki 5 za mtumba hzi naona wengne wanatumia za kwenye masubwoofer ya mchina au unaweza nunua active bass ya mzk wa gari ukaifanya kuwa bass kwenye receiver ni ww tu au unanunua bass spika ya mzk wa gari 12 nchi unachonga box zuri la vpimo kisha unafunga booster ya bass ili iwe active bass alooo aloo alooooMkuu, nikihitaji km hii natakiwa niandae budget kiasi gani?
Yah mzinga wangu Logitech hapa sijui una mapafu gani.Mtambo ni kama unavyoonekana hapo chini!
View attachment 1698249
Balaa lake hilo mwamuzi maskio yako! Muuzaji alinishauri nisinunue kama nimepanga 😂😂😂
Una Logitec gan Z9000, Z6600 au Z5000?Yah mzinga wangu Logitech hapa sijui una mapafu gani.
Huwa siku vyombo vikikolea nikifungua nusu tu.
Majirani lazima wagonge.
Hizo speaker ndogo zimo 5
Itakua Z 5000 sijawahi hata kuangalia ila mziki wake sio wa dunia hii.Una Logitec gan Z9000, Z6600 au Z5000?
Nilikuta jama anayo hiyo 6600 bass yake sio. Ya nchi hii,Itakua Z 5000 sijawahi hata kuangalia ila mziki wake sio wa dunia hii.
Sasa Amplifier au Reciever si tayari ina kifaa cha kukuzia mziki. Nafikiri unahitaji passive bass box pekee. Ukishai Plug kwenye reciever itatoa mdundo tu. Unless kama Reciever unayotumia iwe haina port ya ku plug subwoofer.Kuanzia laki 4 unapata reciever ya kampuni yoyote bila spika hata 1, bass ni ww unajipimia unataka ya nchi ngapi 8, 10, 12 au 15 bei kuanzia laki 3 mpk laki 5 za mtumba hzi naona wengne wanatumia za kwenye masubwoofer ya mchina au unaweza nunua active bass ya mzk wa gari ukaifanya kuwa bass kwenye receiver ni ww tu au unanunua bass spika ya mzk wa gari 12 nchi unachonga box zuri la vpimo kisha unafunga booster ya bass ili iwe active bass alooo aloo aloooo
85watts in RMS ni balaa zitoKula chuma hicho hii ni receiver ya harman kardon avr 161s na pia ina subwoofer harman kardon TS18 ambayo booster yake ilikufa nimeifungia booster ya mzk wa gari ile ya bass tu sasa imekuwa tamu zaidi kuliko awali ni hatariiiiiii.. hiyo receiver ina channel 5 na kila channel ni 85 watts really kbs achana na system za kichina unaandikiwa 200 w kumbe ni 30w tu nadhan wazee wa muziki mnajua 85 watts kwa kila channel ni hatari kiasi gn.
Zile seapiano 1002 ni 80watts tu nayo si really lakini uswaz wanaimba ngonjera inapiga sn sasa compare na hii receiver chukua 85 mara 5 ndo watts za receiver yote hapo unapgia mid na twita tu maana bass linajitegemea lina 200 watts 😀😀😀🤣🤣😂🤩
🤣🤣🤣🤣 we jamaa unazjua receiver kweli ww mkuuSasa Amplifier au Reciever si tayari ina kifaa cha kukuzia mziki. Nafikiri unahitaji passive bass box pekee. Ukishai Plug kwenye reciever itatoa mdundo tu. Unless kama Reciever unayotumia iwe haina port ya ku plug subwoofer.
Anaweza kua sahihi🤣🤣🤣🤣 we jamaa unazjua receiver kweli ww mkuu
....receiver karibu zote zina signal ouput ya subwoofer tu maana yake ni lazma subwoofer iwe active, receiver znaruhusu spka za mid tu kutokuwa active si subwoofer nenda kajifunze...
Zipo avr ambazo zinatumia both active na passive sub,, onkyo,kenwood na Lg wana series kama hizo, mfano Kenwood series V5000,6000 na v7000 zina port ya active sub na ina output ya kufunga passive sub🤣🤣🤣🤣 we jamaa unazjua receiver kweli ww mkuu
....receiver karibu zote zina signal ouput ya subwoofer tu maana yake ni lazma subwoofer iwe active, receiver znaruhusu spka za mid tu kutokuwa active si subwoofer nenda kajifunze...
Mwamba sio AVR zote, mfano systems hiyo, hapo inasukuma sub nne, kila floor standing ina sub kubwa tu 8" mpaka 10" achilia hizo mids mbili mbili zinazoonekana na ni sub za maana tu. Ndio zinazosukumwa na AVR.Sasa Amplifier au Reciever si tayari ina kifaa cha kukuzia mziki. Nafikiri unahitaji passive bass box pekee. Ukishai Plug kwenye reciever itatoa mdundo tu. Unless kama Reciever unayotumia iwe haina port ya ku plug subwoofer.
Floor standing huwa zina sub woofer kubwa tu, ukikuta speaker system za 5.0 channel, kama hiiAnaweza kua sahihi
Ila mmepishana maana tu.
Mkuu unaelewa maana ya karibu zote 🤔 pia nmemkosoa jamaa kushangaa receiver kuhitaji active subwooferZipo avr ambazo zinatumia both active na passive sub,, onkyo,kenwood na Lg wana series kama hizo, mfano Kenwood series V5000,6000 na v7000 zina port ya active sub na ina output ya kufunga passive sub