Kodtec Speaker systems

Basi kma ndo hivyo itakuwa ni option nzuri sana ukilinganisha na price range, yaani tuseme kwa laki 4 unapata mziki sound quality karibu wa 1m ni jambo zuri saNa
Yah, its the best bet for the money! Hio laki 4 ni bei ya Mlimani City ila Kariakoo Stores utaipata kwa 300K bila shaka!
 
Kuna mzigo mmoja unaitwa ALITOP,una spika mbili tu bei yake sio ya kutisha ni 180k-200k lakini hilo balaa lake noma toka siku hyo nikaacha kudharau sabufa
maana nilikuwa nahisi wenye sabufa hawasikilizagi mziki wanasikiliza makelele
Hahahahahah sio AILIPU kweli hio 😂😂😂 najua kuna mchina mmoja anaitwa hivyo!
 
Mhhhh waweza tuma picha na model namba hapa??
Kuna mzigo mmoja unaitwa ALITOP,una spika mbili tu bei yake sio ya kutisha ni 180k-200k lakini hilo balaa lake noma toka siku hyo nikaacha kudharau sabufa
maana nilikuwa nahisi wenye sabufa hawasikilizagi mziki wanasikiliza makelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…