abunerimgaya
Member
- Nov 13, 2012
- 78
- 15
WAKATI NASOMA NILIKUWA NASIKIA CHADEMA WANALALAMIKA CCM WANAKULA KODI ZETU NILIKUA SIELEWI WANAKULAJE! Coz NILIKUWA CJAWAI KULIPA KODI YANI NIMEFUNGUA KA STUDIO KADOGOO HATA MWAKA HAKANA NASHANGAA
#manispaa wanataka ushuru tsh elf 50
#manispaa hao hao wanatakaushuru wa bango tsh elf 15
#TRA wanataka mapato tsh 200,000
#Cosota wanataka kibali tsh elf 50
#steps nao kibali chao tsh 50
Duh!Jamani bado #UMEME #KODI YA CHUMBA #MAJI af hapo hapo unalipa unasikia cjui lowasa waligawana na Chenge.