Unajiuliza inakuaje mafuta inapitia Dar port alafu bei ya mafuta Lubumbashi ni nafuu kuliko Dar es salaam? Kweli penye miti hakuna wajenzi.
Sukari inatoka Brazil hadi Tanzania ila bei ni nafuu kuliko Sukari inayotoka Mtibwa.
Mchele inatoka Vietnam hadi Tanzania ila bei ni nafuu kuliko mchele kutoka Shinyanga na Mbeya na Bahi.
What is wrong with our leaders? Are they after whom?