kodi za kitapeli vituo vya basi Arusha

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
kuna kodi za ajabu sana zinazotozwa katika vituo vya mabasi Arusha kwa mfano kitika kituoa kikuu cha arusha hasa babasi yaendayo Karatu, kuna kodi sh.2000 kwa ajili ya askari kuna kodi 2000 kwa ajili ya kamba,kuna kodi 17,000 kwa ajili kituo chenyewe na kodi zote hizi hazina risiti,je?maamlaka inayohusika inafahamu haya
 
Back
Top Bottom