Kodi ya Toyota Hilux 4WD ya 2012 iliyonunuliwa kwa 50 million Tsh ni shilingi ngapi?

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,337
5,574
Eti kodi ya Toyota Hilux ya mwaka 2012 ilinunuliwa kwa 50 Million Tzs ikaingizwa nchini kwa msamaha. Itakuwa sh ngapi kwa sasa kama mtu akiinunua kutoka kwa mhusika?
 
Nenda TRA. Au chukua plate namba ya hiyo gari search status ya kodi yake TRA online
 
TRA NIKIENDA CUSTOMS wakasema wanona namba ila value hawaioni, eti wanataka doc zakununulia wakatiwmenye kgari hawezi kukupa kabla ya kununua.Labda hiyo TRA online unafanyaje?
 
Msamaha wa kodi hua unatoa Import Duty tu ushuru wa hio gari ni 16,865,000 import duty yake ni $3500 kwaio chukua 16,865,000-$3500 = utakachokipata ndo ushuru utakao lipia ila hio ni endapo CIF ya kwenye invoice itasoma $10000 ila ikizidi hapo habari yake utajasimulia humu
 
Haipo hivyo, kwanza gari ambayo ilikuwa exempted h
uwa ina depreciation value, mathalani wakati inaingia cif value yake ilikuwa ni milioni 10 basi utapiga asilimia kama 60 hivi kwa gari iliyoingia mwaka huo 2012 yaani 10,000,000*60% unayopata mil 6 then unachukua mil 10 toa 6 unayopata 4mil ndio inakuwa current CIF, ambayo uta calculate kodi from that 4mil. Ndio maana hao wamemwambia apaleke doc wakati gari inaingia ili ijulikane thamani yake ilkuwa kiasi gani, lau kama ikishindikana ni lazima aende toyota tanzania wampe kalatasi ya valuation ya kuonesha thamani ya gari kipindi hicho ilikuwa shingapi? Ila kwa kusema tu mil 50 bila ushahidi utajiumiza mwenyewe tu maana kipindi hicho gari hyo ilikuwa dola haizidi 25,000 ambapo pia dola ilikuwa chini. Kwamfano tuchukue hiyo milioni yake 50 uki depreciate kwa hiyo miaka ni kama 70% thamani ya gari ya sasa inaweza kuwa mil 15 hapo ndio utapiga kodi. Ila lazima apeleke docs ili afanyiwe fair assessment.

Na pia gari aliingiza nani?
Kama ni mfanyakazi maana yake alisamehewa vat tu hivyo atalipa importy duty, ex duty ya cc na other charges
Ila kama ni shirika au returning hakulipa chochote hivyo utalipa kodi zote. Huo ni uzoefu mdogo nilionao maana tuliwahi kufanya gari kama hilo la jamaa yetu
 
Ni kweli mkuu sikua sahihi maana sikuelewa vizuri alichouliza mleta mada nilielewa kwamba hio Hilux inaingizwa sasa hivi nchini..pia ili kuweka rekodi sawa msamaha wa gari ya mfanya kazi ni kwenye import duty tu..wala sio VAT
 
Yah analipa VAT nime andika vice versa. Shukrani
 
Back
Top Bottom