Kodi ya Simu: Serikali lazima isikilize kilio cha wananchi

Kumekuwa na mjadala mpana sana juu ya kodi iliyopitishwa na bunge ya kadi za simu za mkononi. Kimsingi kama Chama tumeshatoa msimamo juu ya kodi hii.(SERIKALI IANGALIE VYANZO VINGINE NA KODI HII IFUTWE).

Ninamshukuru na kumpongeza Rais kwa msimamo wake juu ya hili. Agizo la Rais kwa wahusika kulitafakari upya swala hili ni la muhimu litekelezwe kwa wakati. Hapa nataka kusisitiza tu kuwa ni lazima serikali isikilize kilio cha wananchi ambao ndio chanzo cha madaraka yote ya serikali.

Kinachonitia moyo mijadala mingi kwasasa juu ya hili imehusisha mapendekezo ya maeneo mbadala ya wapi pengo litakalosababishwa na kuondolewa kwa kodi hiyo litakavyozibwa. Hapa serikali lazima ionyeshe usikivu.

Kwa nini wabunge wenu waliipitisha?! 😡 😡 😡 😡

Acheni kujitafutia umaarufu wa kipumbavu hapa. Nina hasira na nyinyi sana
 
umeongea kwa niaba ya CCM au umewakejeli?
kama hawafikirii kukusanya kodi ktk maoeno nliotaja basi itakuwa serikali yenye walakini
inayoongozwa na viongozi wasio na upeo wa kiuchumi
kuwakamua wananchi huku ukiacha rasilimali zako zichukuliwe kwa kodi kidogo tunasema ni upumbavu
kisha leo wanakuja wanapingana wenyewe kwa wenyewe..
Pinda anasema anaepinga kodi ya simu ni mnafiki
chenge anasema lazima tulipe
Mgimwa lazima ilipwe wabunge ndio walipitisha
Makamba analia lia uongo.
Nape kaja na ngozi ya mwanakondoo akijifanya kutuonea huruma.

Hawahitaji kupandisha kodi katika maeneo uliyotaja, bali wanahitaji tu kukusanya kikamilifu kwa kiwango kilichopo na wataongeza mapato ya Serkali.
 
ccm ni watu wa hovyohovyo sana, nikimuona mtu kavaa yale manguo yao ya kijani najua ni zuzu au msukule unaotembea ukitoa harufu mbaya. hakika mnastahili kuwa kaburini kwa sasa, hamfai kuishi kwenye jamii yetu
 
Kumekuwa na mjadala mpana sana juu ya kodi iliyopitishwa na bunge ya kadi za simu za mkononi. Kimsingi kama Chama tumeshatoa msimamo juu ya kodi hii.(SERIKALI IANGALIE VYANZO VINGINE NA KODI HII IFUTWE).

Ninamshukuru na kumpongeza Rais kwa msimamo wake juu ya hili. Agizo la Rais kwa wahusika kulitafakari upya swala hili ni la muhimu litekelezwe kwa wakati. Hapa nataka kusisitiza tu kuwa ni lazima serikali isikilize kilio cha wananchi ambao ndio chanzo cha madaraka yote ya serikali.

Kinachonitia moyo mijadala mingi kwasasa juu ya hili imehusisha mapendekezo ya maeneo mbadala ya wapi pengo litakalosababishwa na kuondolewa kwa kodi hiyo litakavyozibwa. Hapa serikali lazima ionyeshe usikivu.
Tunapokuwa na serikali inayofanya maamuzi kwa kuangalia upepo unakoelekea sijui kama tutafika... ifike wakati serikali iwe na msimamo bila ya kujali chadema na vyama vingine vya upinzani vinasemaje... yaani kila kitu mnaiga chadema? mnasikilizia chadema wanataka nini? tutafika kweli? You have to know that as a ruling party... here i mean ccm,kuna sehemu mtapoteza tu kwa kuwa ndio mko madarakani and you have to make decision... mkumbuke kuwa chadema ni wapinzani...
 
Kumekuwa na mjadala mpana sana juu ya kodi iliyopitishwa na bunge ya kadi za simu za mkononi. Kimsingi kama Chama tumeshatoa msimamo juu ya kodi hii.(SERIKALI IANGALIE VYANZO VINGINE NA KODI HII IFUTWE).

Ninamshukuru na kumpongeza Rais kwa msimamo wake juu ya hili. Agizo la Rais kwa wahusika kulitafakari upya swala hili ni la muhimu litekelezwe kwa wakati. Hapa nataka kusisitiza tu kuwa ni lazima serikali isikilize kilio cha wananchi ambao ndio chanzo cha madaraka yote ya serikali.

Kinachonitia moyo mijadala mingi kwasasa juu ya hili imehusisha mapendekezo ya maeneo mbadala ya wapi pengo litakalosababishwa na kuondolewa kwa kodi hiyo litakavyozibwa. Hapa serikali lazima ionyeshe usikivu.

Sasa Bw. Nape, kwa nafasi yako ndani ya CCM, wabunge wenu, ambao ndio wengi bungeni, huwa hawakai "party caucus" na kujadili rasimu za sheria na mapendekezo mbali mbali ya kiserikali kabla hawajaenda bungeni kupitisha?

Manake hii inakuwa kama mchezo wa kuigiza, CCM ndio inayoongoza serikali, na ndiyo yenye wabunge wengi, hivyo ingetegemewa kuwa mambo kama haya yajadiliwe kwanza chamani kabla ya kwenda bungeni na kuja kwetu sisi wananchi, ambao unadai ndio chanzo cha madaraka!
 
kuna mbunge mmoja wa CCM alisema "kata hata TZS 500 kwa siku....hao wanaopinga hii kodi wamechangia nini kwenye nchi yetu"..
Huyo mbunge ni nani? Na yeye kama yeye anachangia nini kwenye nchi yetu?
Nchi hii bila watu itaitwa nchi au hata hajui kutamka neno "Nchi Yetu" Yetu manake watu, sasa bila watu itaitwa nchi au ardhi? uwepo tu wa mtu ni changio tosha maana ndio kitu kinachounda nchi, duh aisee kuna watu wana akili? huyu ana akili nyingi sana kusema hivo, process za kodi zote anazijua sana aisee, anajua kua mwananchi ndiye anayenunua bidhaa inayokua produced na viwanda na hizo products zote zina kodi ya serikali, Siamini mtu anaweza akatoa speech kama hii na bado akawa bungeni, si kuna msemo Ilimradi mtu ana umri sahihi na akili timamu anaweza akagombea? huyu nahisi kachukua kipengele cha umri. Imeniuma sana hii statement imenibidi niiandikie kabisa, na nafyonzaaaa kwa keyboard *************
 
Kumekuwa na mjadala mpana sana juu ya kodi iliyopitishwa na bunge ya kadi za simu za mkononi. Kimsingi kama Chama tumeshatoa msimamo juu ya kodi hii.(SERIKALI IANGALIE VYANZO VINGINE NA KODI HII IFUTWE).

Ninamshukuru na kumpongeza Rais kwa msimamo wake juu ya hili. Agizo la Rais kwa wahusika kulitafakari upya swala hili ni la muhimu litekelezwe kwa wakati. Hapa nataka kusisitiza tu kuwa ni lazima serikali isikilize kilio cha wananchi ambao ndio chanzo cha madaraka yote ya serikali.

Kinachonitia moyo mijadala mingi kwasasa juu ya hili imehusisha mapendekezo ya maeneo mbadala ya wapi pengo litakalosababishwa na kuondolewa kwa kodi hiyo litakavyozibwa. Hapa serikali lazima ionyeshe usikivu.

Mkuu asante sana bwana mdogo, kwa usikivu huu huu naomba rais kikwete; aunde tume ya kijaji kubaini vyanzo na waratibu wa mipango ya kulichafua taifa letu kupitia mauji mbali mbali yenye mlengo wa kisiasa. Nitashukuru sana
 
Nape Nnauye Tuache ushabiki, hii kodi imeshakijeruhi chama hasa kwa wanachama wetu vijijini. Hawana neno la kuwaambia tena wapinzani. Kwa kifupi, hii kodi imewafanya wanachama wa CCM vijijini wawe wanyonge mbele ya wapinzani.
 
Last edited by a moderator:
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube

View attachment 2420687
This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.
Mwenye ngozi ngumu ni hapa JF ni Pascal Mayalla wengine ngozi ya u-bwbw
Naomba kuthibitisha ana ngozi ngumu!.
P
 
Back
Top Bottom