LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 862
- 1,097
Kuanzia kesho tarehe 01/03/2022 gharama zote za utayarishaji wa mikopo katika benki na miamala yote itatozwa VAT...Kuna maana gani kushinikiza mabenki kupunguza riba halafu hiyo nafuu serikali inachukua kutoka kwa mteja wa benki kama VAT?je tunajua athari ya kuongezeka kwa gharama za kuchukua mikopo bank?