Kodi ya majengo vijijini na halmashauri ya Msalala ni uonevu na utapeli

jmchimbadhahabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
221
Reaction score
112
Ni jambo la kushangaza sana kuona baadhi ya viongozi wa wilaya na halmashauri kama ya Msalala pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuona wanapambana kukusanya kodi za majengo vijijini wakati sheria ya kodi ya majengo hairuhusu maeneo ya vijijini kulipia kodi ya majengo.

Mfano wa vijiji ni Kakola kata ya Bulyanhulu, hiki ni kijiji lakini utashangaa watu wanalazimishwa kulipa kodi ya majengo.

Huu ni uonevu ni utapeli na ni uchonganishi kati ya wananchi na Serikali yao. Mkitaka kodi hii vijiji mvipandishe hadhi na kuwa miji midogo.

Nawasilisha.
 
Inamana hadi kule kijiji cha Nundu nao wanalipa kodi ya majengo?
 
~~>>Halmashauri ya Msalala ipo Kahama TC..... Huo ni Usanii
 
Ni jambo la kushangaza sana kuona baadhi ya viongozi wa wilaya na halmashauri kama ya Msalala pamoja na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuona wanapambana kukusanya kodi za majengo vijijini wakati sheria ya kodi ya majengo hairuhusu maeneo ya vijijini kulipia kodi ya majengo.

Mfano wa vijiji ni Kakola kata ya Bulyanhulu, hiki ni kijiji lakini utashangaa watu wanalazimishwa kulipa kodi ya majengo.

Huu ni uonevu ni utapeli na ni uchonganishi kati ya wananchi na Serikali yao. Mkitaka kodi hii vijiji mvipandishe hadhi na kuwa miji midogo.

Nawasilisha.
Bandika kifungu cha sheria hiyo hapa ili wakija tuwatoe nduki, hawajamaa wana wataalamu fake hasa wahandisi, hivi kweli MTU uliyesomea CIVIL ENGINEERING(BUILDINGS), utshauri makao makuu ya Halmashauri ya kajengwe MBUGANI, kwenye mkondo wamaji pale Ntobho !!!???!!, bila ya kuibadilisha njia ya kupita Maji, Mimi naona wahandisi na Wakandarasi wao WOTE NI VLAZA TU,tunaomba wafuatiliwe walikopata hizo Elimu fake!!
 
Back
Top Bottom