Maendeleo yanaletwa na kodi. Wanaopanga kodi gani ikusanywe kwa wananchi ni viongozi wanaochaguliwa na wananchi.
Wote tunajua hawa viongozi wanachaguliwa na raia wa mjini na vijijini ili mradi tu ana umri wa miaka kuanzia 18.
Napendekeza kodi ya kichwa irudishwe kwa kila raia kuanzia wa miaka 18 wa mjini na vijijini. Kwa sasa kodi ya kichwa ipo kwa mgongo wa VAT ambapo kwa watu wa mjini ndio wanailipa kwa kiasi kikubwa.
Watu wa mjini wanakodi lukuki wakati watu wa vijijini tunaochagua nao viongozi wengine hawajui hata neno kodi ni nini.
Kwa hiyo kodi ya kichwa irudishwe ili ikitokea kiongozi akisema ataleta maendeleo kwa unafuu wa kodi kwa raia aeleweke na raia wote na sio sasa wengine (wa vijijini) wanalipiwa kodi na wengine(wa mjini) wakati viongozi wanaoleta mamizigo ya kodi kwa raia wanachaguliwa na wote.