- Thread starter
- #21
Hapana sio uchocheziUchochezi
Hapana sio uchocheziUchochezi
ChakoKichwa kipi?
Hapana mimi sio mgambo ni raia wa kawaida mwenye vigezo vya kupiga kuraWewe utakuwa mgambo tu, hivyo unajua kabisa kwamba kodi ya kichwa ikirudishwa basi ajira unayo moja kwa moja,
Kwani mgambo sio raia mkuuHapana mimi sio mgambo ni raia wa kawaida mwenye vigezo vya kupiga kura
Mgambo ni raia ila sio kila raia (mf.mimi) ni mgambo.Kwani mgambo sio raia mkuu
Hii kodi nilipokuwa mtoto nilikuwa naona baba zangu wakisumbuka sana na hii kodi, wakienda sehemu karatasi wanakuwa nayo, natumai kwa utandawazi wa sasa zitafojiwa karatasi nyingi tuHiyo haiwezi tokea, kodi ya kichwa ilikuwa kodi ya kikoloni
Sio kuwa na maana!
Utakichaji kichwa kimezalisha nini, kimetoa huduma gani?
Kodi ni kwenye goods and services
Kichwa sio bidhaa wala service