Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
😂😂😂Tumeondoa kodi ya jengo kutoka kwenye luku ndugu watanzania
Nenda kadaiHela zetu walizochukua miaka yote itakuwaje?
Baada ya kuwakamua hadi damu wapiga kura
OhooooManinaaa 😂😂😂😂
Gazeti la toka 1970 hukoooo
Mkuu Lycaon pictus Salam.Walau na sisi huku halmashauri tutakuwa na pesa za kuiba, kulikauka.
Wanajengea jengo la ccm pale dodoma bln34Hela zetu walizochukua miaka yote itakuwaje?