Mkuu Malcom,
kodi ninayoongelea nii hii ya kawaida huku mtaani,
kwenye biashara za watu,lol
kukatwa kwa mfano 20% mtu mmoja....
its too high,
haisaidii sababu ni wachache watakaoafford kusustain business....
sasa ukiacha hao wachache,wananchi wengi INPUT/OUTPUT yao ni zero,na ni mzigo kwa serikali.
ukipunguza tax ukafanya 10%,utapata watu wawili ,kodi ni ile ile sema UZALISHAJI umeongezeka na wachache waliokua benchi wamekua moved to Production.....mzigo kwa serikali umepungua
sasa tuna choice, tuwa tax heavily WACHACHE and then use it ALL kwenye bajeti ambayo siku zote haijitoshelezi....
AU tuweke kodi ndogo,and then na kuongeza production which means government inapata surplus,na tatizo la unemployment liishe
mie sio mchumi nielewesheni taratibu....ππππ