Kodi na tozo kwa uingizaji pikipiki

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
Mambo niaje wakuu,

Polen na majukum.

Nina swali mmoja tu nataka mnisaidie tafadhari,

Hivi kodi ya uingizaji wa pikipiki hapa nchini inakuwa vipi?maana TRA hawajaonesha
kwenye website yao wala hawajaolozesha kwa upande wa pikipiki inakuaje.

Naombeni msaada tafadhali
Jr na wadau wengne
 
Sema unataka kuagiza pikipiki gani,kutoka nchi gani,mpya au used? Weka na bei utakayonunulia kutoka huko ughaibuni halafu urudi tena hapa mkuu
 
Back
Top Bottom