Kodi Mpya Kwa Wanywa Bia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kodi Mpya Kwa Wanywa Bia.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SolarPower, Apr 6, 2011.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa Wanywa Bia Hawalipi Kodi ya Aina Yoyote Ile WanapoKunywa Bia Zao, Inapendekezwa Kuanzia Kesho KODI YA MAENDELEO KWA WATU HAWA IWE NI SHILINGI ELFU SABINI NA TANO KWA KILA DAKIKA WANAYOITUMIA KUNYWA HIZO BIA ZAO.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  b.jpg

  drink beer save water
   
 3. C

  CHESEA INGINE Senior Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  We vipi?
   
 4. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,919
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  jamaa wanalipa kodi kubwa sana hawa, waache tu aisee.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  makubwa haya, stay safe and sober
   
 6. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba Wote Hapa Jamvini Msome Kitabu cha Mithali Sura ya 20 Mstari wa Kwanza.
   
 7. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Wangu Chesea, Habari Ndiyo Hiyo. Na Ni Lazima Ile Kwenu Wale Wote Msiotii Kiagizwacho na MUNGU katika Kitabu cha MITHALI 20:1
   
 8. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
 9. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  :tape:

  Ukataka kunywa bia ruksa, ukataka kula kitimoto ruksa...sio kwa kuwa wewe hunywi bia basi uwawekee wenzako vikwazo...RUKSA

  Mkuu hii kitu ndiyo inayochangia zaidi pato la taifa sasa ukiwawekea hiyo kodi ni kama unaweka market distortion factor na pato la taifa litashuka significantly......

  Nenda soma budget za mawaziri wako wa fedha wanapozisoma, hakuna sehemu wanavizia mapato ya kodi na kupandisha kila mara kama kwenye kilagi.....Ni leaders kwenye kulipa kodi na ikiwezekana ukiwaona wapigie makofi kwa kuchangia pato la taifa na kuwezesha kujengwa zahanati ya kutibia babu na bibi yako na ndugu zako wengine kijijini
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera wavutaji sigara,wauza kitimoto na wanywaji wa pombe kwa kuiweka tanzania iwe hai.

  Walokole,wasabato na wais............ Mbona tunachukua zawadi zinazodhaminiwa na viwanda vya pombe
   
 11. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtu hawezi kuishi kwa pombe.
   
 12. TEMLO DA VINCA

  TEMLO DA VINCA JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2013
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 1,032
  Likes Received: 484
  Trophy Points: 180
  mvinyo hudhihaki,kileo huleta ugomvi, na akosaye kwa vitu hivyo hana hekima.
   
Loading...