1.Sihamishi mada yoyote nilikuwa sijaelewa kuhusu kulipa kodi au ni kitambulisho tu cha TINNaona unahamisha Mada taratibu...
ulianza kulalamika watoto wa Miaka 18 wanatozwa kodi ukaeleweshwa kwamba wanaotozwa ni wale tu wanaoingiza kipato
Sasa unalalamika serikali itapata hasara...
Unapaswa kujua kwamba hakuna kazi au mchakato wowote unaofanyika bure bila gharama ila faida zake huko mbeleni ni kubwa ukilinganisha na gharama zinazotumika kuandaa huo mfumo kwa sasa
Na ndiyo maana imetengwa budget kwa ajili ya hilo
Kumpatia mtu wa miaka 18 utambulisho wa mlipa kodi sio kufuja fedha. Hiyo itasaidia hata kwenye data analysis ya future tax payer generation na ni njia halali ya kuwafahamu vibaka na wazururaji maana utakuwa upo mjini, si mwanafunzi na tin yako haina activities yoyote inayoonyesha unaingiza kipato. Tuache kupingapinga.Kwa nini wasisubirie mpaka hapo hao vijana watakapokuwa kwenye ajira rasmi, soma posti ya Mkuu Numbisa kama ni utambulisho wangeweza kuweka kila kitu kwenye vitambulisho vya NIDA,...kuwapa watu vitambulisho visivyokuwa na kazi again ni kufuja hela za serikali, ambazo ni za walipa kodi halali.
Vibaka na wazurulaji si wana vitambulisho vya NIDA?! kwa nini hizo gharama za kutengeneza vitambulisho vipya wasingeweka mfumo wa kuwa mtu akiweka data zako, information zote zinakuja?...hii ingekua cost-effective zaidi...Kumpatia mtu wa miaka 18 utambulisho wa mlipa kodi sio kufuja fedha. Hiyo itasaidia hata kwenye data analysis ya future tax payer generation na ni njia halali ya kuwafahamu vibaka na wazururaji maana utakuwa upo mjini, si mwanafunzi na tin yako haina activities yoyote inayoonyesha unaingiza kipato. Tuache kupingapinga.
CHANGAMOTO HAPA NI UTARATIBU WA MALIPO KUPITIA TIN KWA KILA RAIA, ULIPASWA KUTOA MAWAZO KATIKA HILO.
Duh. Hapo ndio unapochanganya mambo. Mtoto wa miaka 40 sembuse 18 kukaa na kutegemea wazazi ni uzembe wetu ktk malezi na hakumfanyi mwanao huyo asiwe mtu mzima kiumri na kisheria. Maana yake ni kuwa kukaa au kutegemea wazazi hakusimamishi umri wa mtoto. Kama na hii huelewi kalaga baho.Mnhh naona huelewi ngoja nikuache mkuu, utamwitaje mtoto wa miaka 18 ambaye bado tegemezi yuko kwa wazazi ni mtu mzima?!
Sawa. Tusiache kulipa kodi.Vibaka na wazurulaji si wana vitambulisho vya NIDA?! kwa nini hizo gharama za kutengeneza vitambulisho vipya wasingeweka mfumo wa kuwa mtu akiweka data zako, information zote zinakuja?...hii ingekua cost-effective zaidi...
Eti future tax payer, lol
Ngoja nikuache mkuu, baki na mtazamo wako, nibaki na wangu.
Miaka 18 ni Mtu Mzima kisheria na anaweza kufanya lolote lililo ndani ya Sheria na Taratibu,Mnhhh sijui unapinga nini na unakubali nini, mtoto wa miaka 18 ni mtoto sawa na huyo asiye chini ya miaka 18 period!
Kama yuko kwa wazazi wake, ana tofauti gani na hao wadogo zake, regardless jamuhuri inamuchukuliaje?!Miaka 18 ni Mtu Mzima kisheria na anaweza kufanya lolote lililo ndani ya Sheria na Taratibu,
Hawapo sawa miaka 14 na miaka 18.
subiri wakati utakapofika utaitolea majibu hiyo TIN si sasa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole saana ila kuwa na TIN sio kutozwa kodi ni utambulisho tu wa mlipa kodi mie ninayo TIN huu mwaka ni watatu sasa na sijawah kulipa kodi yoyote ile na hutolewa bure tu.
Kama 18 hakupaswa kuwa twgemezi, niambie ni kazi gani huyu 18yr old anaweza kufanya na kuhitegemea.18 hakupaswa kuwa tegemezi.
We unafikiri serikali inapataje pesa!?..warudishe kwa wananchi,kivipi yaani...hivi huwa mnafikiri!?Wakiweka hilo kwamba kujulikane kiasi basi iwe mfano lengo ni kukusanya trillion 1 kwa kodi,kama zikikusanywa trilioni 3 basi 2 zinarudi kwa wananchi na kugawiwa asilimia kutegemeana na walivyochangia. Kuliko kusema wamevuka lengo na wanabakiwa nazo zote hapo wananchi tutaumia sana. Maana hakuna kodi inauma kwa sasa kama PAYE yaan dah ni kubwa kuliko makato yote kwenye salary slip na salary inavyopanda ndio na yenyewe inapanda zaidi na hairudi hata hamsini
Siyo kila mwenye miaka 18 yupo kidato Cha nne!!..na wanesema mwenye kipato,mna shida gani vichwani!!?subiri wakati utakapofika utaitolea majibu hiyo TIN si sasa.
Ni ajabu unaunga mkono hoja mtoto wa miaka 18 aliye kidato cha nne apate utambulisho wa mlipa kodi.
Wanaounga mkono hoja hii mtazamo wao ni pamoja na wa mwigulu wa miaka 40 iliyopita wakati ambapo hakukuwa shule za kutosha, ukimaliza darasa la saba unasubiri kuoa au kuolewa. By the time unafika 18 tayari una watoto.
Leo hii kidato cha nne ni mandatory ambapo watoto wanamaliza wakiwa 18-19 na wengi wanaendelea kimasomo kisha unataka watambuliwe kama walipa kodi??
akili za ajabu
Ila viongozi wao ndio mishahara walipwe tena mikubwa, wapewe nyumba za kukaa, matibabu na huduma zengine bure.Serikali ndiyo mlezi mkuu, kuna
hekima kubwa sana kwenye hili jambo. Kwanza, litawafanya
watoto wetu kujifunza their civic
duty, kulipa kodi. Pili,
litaharakisha watoto wetu
kujitegemea, watoto wa kisasa
hawajigusi na utakuta mtu ana
miaka 40 bado yuko kwa
wazazi kama mtegemezi. Haya
ni matumizi mabaya ya
rasilirasilimali watu kwani kila
raia ana wajibu wa kutoa
mchango wake katika ujenzi wa
taifa kwa namna yake popote
alipo. Tatu, sheria zetu
zinatambua miaka 18 kuwa ni
age of majority hivyo basi, siyo
kulipa kodi tu, wanaweza
kufungwa jela au kupelekwa
vitani. Mwisho, kama nchi
lazima iwe na misingi ya
uwajibikaji, kila mtu awajibike.
Utii wa sheria bila shuruti. Hakuna miaka 18 asiye na kipato atalipishwa kodi. Tusiwe wapotoshaji.Kwa miaka 18 huu ni uonevu, bye.
Kuna kupinga kwa ajili ya kuboresha na kuna kupinga kwa sababu ntu hana mapenzi na serikali iliyopo madarakani. Huyu wa pili atapinga tu bila utaratibu.Siyo kila mwenye miaka 18 yupo kidato Cha nne!!..na wanesema mwenye kipato,mna shida gani vichwani!!?
Ina saidia pia serikali kujua wafanya biashara hambao hawatoi risiti na kukwepa kodi pale mnunuzi anapo fanya malipo kwa TINHuelewi, bila malipo sio kwa mtu wa kawaida, ila malipo kwa serikali kuwalipa hao wanaotengeneza na kivigawa, huu ni ufujaji wa pesa kwa serikali.