kodi isiwe sababu ya kufunga biashara Yako.

kodi isiwe sababu ya kufunga biashara Yako.

MR KWACHA

Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
87
Reaction score
74
habari
ikiwa wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo na unakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara yako kiasi kwamba biashara Yako inaweza kufungwa basi karibu ukope kwetu, kama una changamoto ya kudaiwa Kodi ya pango, Kodi Toka TRA, bill za maji umeme na mishahara ya wafanyakazi nasi njoo kwetu tukusaidie na utapata mkopo ndani ya masaa 48
kiwango Cha kukopa huanzia milioni moja hadi billion Moja
# muda wa marejesho ni miezi mitatu Hadi miezi 24 mteja ana uhuru wa kuchagua muda wa marejesho
# RIBA ni asilimia 3.5% kila mwezi ( reducing balance method)
# mteja atapata mkopo ndani ya masaa 48 Hadi 72 pindi atakapokuwa amekamirisha taratibu zote
# Mdhamana ni KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja Toka serikalini

NYARAKA MUHIMU AMBAZO MTEJA ANAPASWA KUWA NAZO ILI APATE MKOPO
  • Kitambulisho cha taifa NIDA
  • Leseni ya udereva
  • Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa
  • Taarifa za kibenki za miezi 6 au miamala ya simu
  • Tin number
  • Leseni ya biashara
  • 3 passport size za kwako na 3 za wadhamini wawili
  • Kitambulisho cha taifa NIDA Cha mdhamini na barua ya mdhamin
  • KADI YA GARI hati ya nyumba au Kiwanja
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mkopo tafadhali wasiliana NAMI
0686153806
 
Back
Top Bottom