Kodi hizi ni halali au mnataka tufe?

Kodi hizi ni halali au mnataka tufe?

Mkuu, Lipa Kodi tu. Wala usisite. Uliona wapi Serikal ina shamba au mashamba? Unadhan pesa wanazolipwa wabunge,mawaziri,wakuu wa mikoa,wa wilaya na watekaji zinatoka wapi?lipa kodi tafadhari.
Tena nashangaa kweli
Alifikiri wale macomandoo wetu wanafunja matofali bure! Kila mukiongeza kodi na wao wanafunja matofali mengi zaidi.
Lipa kodi
 
Asante sana kiongozi, nilisha umia hapa kwa TRA,leseni, pango, umeme, usafi na Ulinzi ngoja nikomae baada ya mwaka nione, ijapo kila mwaka kodi inapanda sasa

Kweli fanyia kazi mipango yako kama wengine wana weza kwa nini isiwe wewe
 
Nimefungua kiduka changu nikiwa na mtaji wa million moja,

nimeenda TRA wakanipigia hesabu ya kulipa 150,000 Kwa mwaka huu 2017.

Sijakaa kidogo wamepita watu wa leseni kwenye hii manispaa ya Ubungo
Wakadai natakiwa kulipa 151,000 Kwa mwaka la sivyo kiduka kinatiwa kufuri.

Maswali yangu Kwa wahusika wa kodi hizi zote
mnataka sifa ?
Au mnalengo lingine wa wavuja jasho?

Hawezekani mtaji wa million moja mchukue TRA ichukue 150,000 na Manispaa 151,000 Kwa mwaka.

Wahusika mnajua Pesa ilivyo ngumu mtaani.

Mbona ndogo sana hiyo kodi mkuu? au kwasababu inakwenda kwa srikali ndo maana unaiona kubwa? kodi ya nyumba kwani unalipa bei gani kwa mwezi na kwa mwaka inakua bei gani?
sijui unatakanini ndugu, tukikupa mashine ya risiti EFD unakimbia mbio na vilio kila kona, tukikukadiria unalia tufanye nini sasa???? au tukusamehe 100%? Lipa kodi bana wezio tunakatwa 9% kila mwezi.

mtaji wa milioni moja kwa mwezi unaweza fanya mauzo ya milioni tano kutegemeana na biashara, sasa kama wewe unaona ni mtaji mdogo hustahili kulipa kodi acha biashara nenda kalime viazi mbatata utauza kwa madalali bila kodi.
 
Back
Top Bottom