Kodi East African Countries

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,117
1,424
Ndugu zangu naombwa kujua kodi zinazolipwa na perxentage zake ikiwa unaleta mzigo toka Kenya kuja Tanzania
 
kodi za nini mkuu, mazao ? au una maanisha ziorodeshwe zote hapa
 
kodi za nini mkuu, mazao ? au una maanisha ziorodeshwe zote hapa
Kodi za bidhaa mbali mbali kama vile fridge, tv, vifaa vya ujenzi iwapo umevinunua Kenya na unataka kuviingiza Tz, or tunayo East African tariff?
 
Back
Top Bottom