Kodi bado inapotea na kukwepwa sana..

Kodi bado inapotea na kukwepwa sana..

Mifumo hii mbona ipo , tatizo lipo kwenye Human Resources.

Hatuna watu ambao wana Nia ya dhati ya kutekeleza majukumu Yao kwa weledi,

Watendaji wanatumia nafasi zao kujinufaisha , ndio maana unaona matatizo lukuki ukadhani labda hakuna mifumo.

Maswala ya Ardhi kata - Zipo Ward Tribunals nyingi mno.

Watendaji wa Kijiji, wenyeviti wa Kijiji/mtaa,

Mahakama za Mwanzo zipo.

Yaani tambua tu kuwa kabla hujafika wilayani tayari Kuna serikali Toka level ya balozi wa nyumba kumi kumi.

Kwahiyo ukisema kwamba serikali haipo huko chini nakataa.

Swala hapa ni competent human resources.

Ndio swala ambalo awamu ya Tano ilijitahidi mno kupambana nalo na ilifanikiawa kiasi chake kurejesha uwajibikaji kwa watendaji wa serikali.

Wewe hata kuelewa huelewi kazi kuleta ubishi..
Kuna kata inayojitemea kwa bajeti?Kwa eneo?
Kuna TRA level ya kata inayokusanya mapato?
Kuna mtendaji anaeletewa bajeti ya kata yake?

Kuna polisi kata?
Mahakama ya kata?
Why Dar jiji zima kesi zianze kisutu?
Why watu waende wilayani kwa kufata hati ya kiwanja au Cheri cha kuzaliwa?
Kuna Kata inayo jitegemea?

Wewe hata kuelewa bado
 
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..

Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...

Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..

Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi

Bado serikali inaanzia Wilayani....

Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..

Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..

Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..

Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..

Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...

Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..

Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..

Serikali isogee karibu kwa wananchi
Hili wazo natamani samia alipate ni wazo zuri sana kwa kuongeza makusanyo ya kodi, ni kweli ngazi za kata na vijiji watu wengi wanafanya biasha kubwa tu na hawalipi kodi, siku TRA wakipita wafanyabishara wanarudisha mageti hadi TRA waondoke hili ni tatizo
 
Wewe hata kuelewa huelewi kazi kuleta ubishi..
Kuna kata inayojitemea kwa bajeti?Kwa eneo?
Kuna TRA level ya kata inayokusanya mapato?
Kuna mtendaji anaeletewa bajeti ya kata yake?

Kuna polisi kata?
Mahakama ya kata?
Why Dar jiji zima kesi zianze kisutu?
Why watu waende wilayani kwa kufata hati ya kiwanja au Cheri cha kuzaliwa?
Kuna Kata inayo jitegemea?

Wewe hata kuelewa bado
Hehe mkuu haiwezekani ukawa unajua Kila kitu na ukabishana na kila mtu,

Wakati mwingine weka pride pembeni na ujifunze Toka kwa wengine pia.

Dar sio kila kesi zinaanzia kisutu, ni baadhi tu.

Kuna mahakama za mwanzo zimetapakaa Kila mahali hapa nchini.

Vituo vya polisi vipo Kila kata, labda uje na mfano wa kata ambayo haina, mtendaji, kituo Cha afya, Wala shule, Wala kituo Cha polisi,

Mifumo ipo, tatizo la nchi hii ni WATU.

Mifumo inaonekana haifanyi kazi kwakua RUSHWA imekithiri ni Hilo tu.

Ndio maana hata makampuni ya nje wanapenda kuajiri wageni kuliko watanzania maana watanzania hawapendi kufanya kazi, wanataka wapige tu.

Tukiamua kuachana na upigaji mbona mifumo ipo mizuri tu na inafanya kazi??
 
Magufuli kwenye kodi alikuwa sahihi kabisa Watanzania hawalipi kodi,tatizo alitumia approach mbaya.
Hawalipi kodi sababu hawana.kama umeshindwa kuwatengenezea ajira watalipaje sasa kodi hali awazalishi.
Wangeanza kuchochea uzalishaji kwanza kisha ndo waje kodi.
Ni aibu sana maji ya mito kuishia baharini badala ya mashambani hivi wanashindwa vipi kutengeneza scheme za umwagaliaji KILA kona vijana wapate ajira, wanashindwa vipi kutoa elimu ya ufundi bure KILA kata vijana wapate ujuzi wa kuzalisha.Raslimali zetu ni iddle hazitumiki kabisa.Zingetumika export ingekua na tukapata kodi tele.Bila hata kuhangaika na kodi za kinyonyaji.
 
Hehe mkuu haiwezekani ukawa unajua Kila kitu na ukabishana na kila mtu,

Wakati mwingine weka pride pembeni na ujifunze Toka kwa wengine pia.

Dar sio kila kesi zinaanzia kisutu, ni baadhi tu.

Kuna mahakama za mwanzo zimetapakaa Kila mahali hapa nchini.

Vituo vya polisi vipo Kila kata, labda uje na mfano wa kata ambayo haina, mtendaji, kituo Cha afya, Wala shule, Wala kituo Cha polisi,

Mifumo ipo, tatizo la nchi hii ni WATU.

Mifumo inaonekana haifanyi kazi kwakua RUSHWA imekithiri ni Hilo tu.

Ndio maana hata makampuni ya nje wanapenda kuajiri wageni kuliko watanzania maana watanzania hawapendi kufanya kazi, wanataka wapige tu.

Tukiamua kuachana na upigaji mbona mifumo ipo mizuri tu na inafanya kazi??
We jamaa sijui upo tanzania gani au unaongea kwa ushabiki asilimia 85% ya kata zote nchini hazina vituo vya polisi uko wap wewe labda yawezekana haupo tanzania
 
Hawalipi kodi sababu hawana.kama umeshindwa kuwatengenezea ajira watalipaje sasa kodi hali awazalishi.
Wangeanza kuchochea uzalishaji kwanza kisha ndo waje kodi.
Ni aibu sana maji ya mito kuishia baharini badala ya mashambani hivi wanashindwa vipi kutengeneza scheme za umwagaliaji KILA kona vijana wapate ajira, wanashindwa vipi kutoa elimu ya ufundi bure KILA kata vijana wapate ujuzi wa kuzalisha.Raslimali zetu ni iddle hazitumiki kabisa.Zingetumika export ingekua na tukapata kodi tele.Bila hata kuhangaika na kodi za kinyonyaji.
Tatizo kubwa tanzania pesa nyingi inahudumia wana siasa na maisha ya anasa , kuna matumizi ya hovyo hovyo sana serikalini na tatizo ndipo lilipo wananyonywa wananchi kwa kodi kubwa san kisa wanataka kununua land cruiser za milion mia nne za wakuu wa mikoa waka ingewezekana tu gari za milioni 60 ha 100 zika wafaa.
 
Mbona Amerika idara ya kukusanya kodi (IRS) inasimamia watu zaidi ya milioni 300 na inakusanya kodi vizuri tuu? Wao wanawezaje na TRA wanashindwa?
Kodi zao Ni rafiki na kipata Chao. Huku kipato kidogo Kodi kubwa kwanini watu wasikwepe Kodi. Fikilia wafanyakazi wengi mshahara yao si mikubwa na ndiyo wanaokatwa.wabunge mishahara na posho kibao hawakatwi unategemea nini?
 
We jamaa sijui upo tanzania gani au unaongea kwa ushabiki asilimia 85% ya kata zote nchini hazina vituo vya polisi uko wap wewe labda yawezekana haupo tanzania

Hilo pumbavu usibishane nalo..
Uliwahi ona watu wanafata cheti cha kuzaliwa ofisi ya kata?..afisa ardhi Yuko kata akakupa hati?..

Hili lipo humu kubisaha tu
 
Tatizo kubwa tanzania pesa nyingi inahudumia wana siasa na maisha ya anasa , kuna matumizi ya hovyo hovyo sana serikalini na tatizo ndipo lilipo wananyonywa wananchi kwa kodi kubwa san kisa wanataka kununua land cruiser za milion mia nne za wakuu wa mikoa waka ingewezekana tu gari za milioni 60 ha 100 zika wafaa.
Kabisa Mkuu haya majamaa Ni makupe kazi kunyonya wananchi tu.
 
Hilo pumbavu usibishane nalo..
Uliwahi ona watu wanafata cheti cha kuzaliwa ofisi ya kata?..afisa ardhi Yuko kata akakupa hati?..

Hili lipo humu kubisaha tu
Mkuu acha na Hilo Ni zezeta na kubwa jinga la jukwaa hili. Siku ile watu wanazungumzia Moto katika soko la kariakoo na hasara walizopata watu lilivyo zezeta likataja Chadema.yaani vitu viwili yofauti.ndipo likajua kumbe Ni Mapooza wa akili
 
Wewe hata kuelewa huelewi kazi kuleta ubishi..
Kuna kata inayojitemea kwa bajeti?Kwa eneo?
Kuna TRA level ya kata inayokusanya mapato?
Kuna mtendaji anaeletewa bajeti ya kata yake?

Kuna polisi kata?
Mahakama ya kata?
Why Dar jiji zima kesi zianze kisutu?
Why watu waende wilayani kwa kufata hati ya kiwanja au Cheri cha kuzaliwa?
Kuna Kata inayo jitegemea?

Wewe hata kuelewa bado
Mweleweshe taratibu mkuu.

Unahoja nzuri
 
Hilo pumbavu usibishane nalo..
Uliwahi ona watu wanafata cheti cha kuzaliwa ofisi ya kata?..afisa ardhi Yuko kata akakupa hati?..

Hili lipo humu kubisaha tu
Wewe ni mjinga na nakupuuza.
 
Back
Top Bottom