Kodi bado inapotea na kukwepwa sana..

Kodi bado inapotea na kukwepwa sana..

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,613
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..

Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...

Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..

Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi

Bado serikali inaanzia Wilayani....

Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..

Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..

Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..

Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..

Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...

Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..

Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..

Serikali isogee karibu kwa wananchi
 
Au tuanzishe mfumo wa Majimbo utakao ongozwa na Magavana kama ule wa wakubwa zetu Ujerumani, Marekani, nk. Ili kujenga ushindani wa kimaendeleo, huku umoja wa kitaifa ukiendelea kuimarishwa.

Kila siku wadau wakitoa mawazo tofauti, kuna watu hupinga kwa sababu nyepesi nyepesi tu. Ili waendelee kunufaika kisiasa.
 
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..

Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...

Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..

Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi

Bado serikali inaanzia Wilayani....

Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..

Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..

Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..

Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..

Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...

Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..

Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..

Serikali isogee karibu kwa wananchi
Ndio maana tunahitaji kwanza katiba mpya otherwise haya yote tunapoteza muda tu.
 
Hii Nchi wanaonewa Wafanyakazi kiuhalisia kabisa Wafanyabiashara wengi hawalipi kodi,wengi tena sana na wengi wakilipa hawalipi kiasi kinachotakiwa.

Kwanza TRA hapo Makao Makuu tu ya Mikoa,Wilayani hawapo.hata waliopo hapo mikoani wengi wanajikadiria tu makodi pasipo uhalisia wa biashara.
 
Kodi za Tanzania nazo sio rafiki,kuna siku nilichukua kile kijitabu cha TRA cha makato ambayo MTU anatakiwa kulipa kulingana na mauzo kama Wafanyabiashara wakilioa Jana inavyotakuwa basi tungekuwa na biashara chache sana Tz.
 
Magufuli kwenye kodi alikuwa sahihi kabisa Watanzania hawalipi kodi,tatizo alitumia approach mbaya.
 
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..

Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...

Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..

Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi

Bado serikali inaanzia Wilayani....

Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..

Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..

Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..

Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..

Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...

Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..

Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..

Serikali isogee karibu kwa wananchi
Ushauri bora kabisa.
Punguza ma V8, ongeza ufanisi wa idara ngazi ya kata
 
Mbona Amerika idara ya kukusanya kodi (IRS) inasimamia watu zaidi ya milioni 300 na inakusanya kodi vizuri tuu? Wao wanawezaje na TRA wanashindwa?
 
Wazo zuri hasa kwenye ku enforce Ulipaji Kodi, usalama na kupanga miji.. wilayani kubakie na waratibu ambao ni maofisa wa sasa Watendaji wote wawe kwenye kata
 
Mbona Amerika idara ya kukusanya kodi (IRS) inasimamia watu zaidi ya milioni 300 na inakusanya kodi vizuri tuu? Wao wanawezaje na TRA wanashindwa?
Ndio kama hivi TRA iko wilayani, unadhani kukiwa na ukaguzi japo mara 2 kwa mwezi nyumba hadi nyumba mtu aoneshe risiti za bidhaa na huduma alizotumia watu watashindwa kudai na kutoa risiti? Saizi inaonekana kudai na kutoa risiti ni jambo La hiari.

Sasa hii Kazi inaweza fanywa na Watendaji wa mitaa kwa kushirikiana na TRA na polisi , mbona kodi itapatikana na utamaduni utajengwa kama ilivyo siku ya usafi
 
Hii Nchi wanaonewa Wafanyakazi kiuhalisia kabisa Wafanyabiashara wengi hawalipi kodi,wengi tena sana na wengi wakilipa hawalipi kiasi kinachotakiwa.

Kwanza TRA hapo Makao Makuu tu ya Mikoa,Wilayani hawapo.hata waliopo hapo mikoani wengi wanajikadiria tu makodi pasipo uhalisia wa biashara.
Na wananchi wengi hawadai risiti licha ya kwamba wanatoa pesa inaishia kumfaidisha mfanyabiashara.

Ndio maana mimi tozo za miamala na mafuta nimezipenda Sana kwa sababu zinafidia kile ambacho hawakitimizi kama wajibu.
 
Ndio kama hivi TRA iko wilayani, unadhani kukiwa na ukaguzi japo mara 2 kwa mwezi nyumba hadi nyumba mtu aoneshe risiti za bidhaa na huduma alizotumia watu watashindwa kudai na kutoa risiti? Saizi inaonekana kudai na kutoa risiti ni jambo La hiari.

Sasa hii Kazi inaweza fanywa na Watendaji wa mitaa kwa kushirikiana na TRA na polisi , mbona kodi itapatikana na utamaduni utajengwa kama ilivyo siku ya usafi

Halafu ngazi ya kata watu wanajuana..
Kodi kama za kupangisha nyumba sasa hazikusanywi..
Ngazi ya kata ni rahisi kujua ..nyumba imepangishwa na nani..dalali nani..
Hizo ni sehemu ya Kodi serikali inakosa sasa hivi..

Kingine mgawanyo wa hela wa Halmashauri .
Utapunguza mkurugenzi wa Halmashauri kupiga hela...pesa itaenda moja kwa moja kwenye kata..
 
Nchi ina kodi nyingi Sana inashangaza kwamba Serikali inamiliki Watendaji wa mitaa na wenye viti na mabalozi yaani Wana register ya kila mkaazi,nyumba,kiwanja na shamba na mali au biashara zao eti unashindwa kulipa kodi ya kupangisha,kodi ya ardhi,kodi ya jengo,leseni za mafundi nk

Kodi zote hizo kwa nini serikali haikusanyi? Si uzembe huu? Mwaka ujao govt ikishusha VAT na PAYE ihakikishe kodi tajwa hapo juu kila mtu analipa,kila mtu apate risiti kwa huduma aliyofanya,hatuwezi kwenda bila nidhamu.

Kwa sasa idadi ya watu inaongezeka Sana kuliko uwezo wa kutoa huduma sasa bila kufanya hivi tutafikaje ?
 
Ishu sio ukubwa wala udogo,china ni kubwa na ina watu zaidi ya bilioni moja sasa wao tuseme wawe na utaratibu wako kwa kila mjumbe wa nyumba kumi kama ni hivyo
 
Mifumo hii mbona ipo , tatizo lipo kwenye Human Resources.

Hatuna watu ambao wana Nia ya dhati ya kutekeleza majukumu Yao kwa weledi,

Watendaji wanatumia nafasi zao kujinufaisha , ndio maana unaona matatizo lukuki ukadhani labda hakuna mifumo.

Maswala ya Ardhi kata - Zipo Ward Tribunals nyingi mno.

Watendaji wa Kijiji, wenyeviti wa Kijiji/mtaa,

Mahakama za Mwanzo zipo.

Yaani tambua tu kuwa kabla hujafika wilayani tayari Kuna serikali Toka level ya balozi wa nyumba kumi kumi.

Kwahiyo ukisema kwamba serikali haipo huko chini nakataa.

Swala hapa ni competent human resources.

Ndio swala ambalo awamu ya Tano ilijitahidi mno kupambana nalo na ilifanikiawa kiasi chake kurejesha uwajibikaji kwa watendaji wa serikali.
 
Back
Top Bottom