Kochi zuri sana...

Sijapenda rangi ya hilo kochi,huku kwetu Tanga kuna makochi upana wa wastan ila rangi yake ya Orange(full) inayafanya yavutie sana kukaliwa.karibu wajaleo..
 


Na kochi hili nitapata wapi?
 
Mh sitaki kufikiri ni kochi ambalo huwa naliona mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…