proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,468
- 1,329
Timu ilicheza viziri sana hasa kipindi cha kwanza. Simwingilii kocha, binafsi sub ya Luizio sikufurahishwa nayo. Kutoka kwa Kichuya kumeigharimu timu. Nadhani Ndemla angeingia badala ya Luizio matokeo yangekuwa tofauti kwa kuwa ana uwezo wa kuchezea mpira, kuipandisha timu, kupiga pasi za mwisho na hata kupiga shuti za mbali.
Shabalala leo kacheza vizuri kuliko mchezo ulipita, ila bado hajarejea kwenye fitness yake.
Kwa ufupi, kocha angejaza viungo badala ya kuimarisha mbele ili kulinda ushindi.
Kwa upande mwingine refa ameonesha udhaifu kwa baadhi ya maamzi. Rejeeni muvu moja ilikuwa ikiekea kwenye lango la Mbao, akapiga filimbi wakati aliyechezewa faulo ni mchezaji wa Simba. Sitaki kurudia makosa yote, Othman Kazi atatusaidia.
Point moja si mbaya tusonge mbele. Tusilaumiane, Simba nguvu moja.