Kocha saintfiet huyooooo yemen...

Oct 27, 2010
77
9
Aliyekuwa Kocha wa Yanga Tom Saintfiet amekuwa Kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu YEMEN..

Source: Super Sports saint.jpg
 
Aliyekuwa Kocha wa Yanga Tom Saintfiet amekuwa Kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu YEMEN..

Source: Super SportsView attachment 67794
Msanii wa kiduku na kikuku anakula kuku ndani ya jumba la Sanaa lililopo Sanaa town YEMEN.
Naona amekimbilia kwa wazee wenye asili ya Mombasa kwa sababu anajua ndiyo watumiaji wazuri wa yale mambo yetu.....
 
Yanga ni timu ya mazingaombwe!!!!!!pale ni uswahili mtupu,amin maneno yangu!!!!!hata ikipewa nabii isaya,hakuna kitu pale!!!!
 
Sipati picha Manji akiondoka Yanga itakuwa na hali gani. Maana wanapenda sana hela za bure, andae kabisa tajiri mwingine wa ku-takeover Manji atakapojiuzulu soon vinginevyo mtachapana bakora hadi basi
 
Back
Top Bottom