Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,258
- 21,290
Bila shaka sote tumeshuhudia namna LIPULI FC ilivyopanda kufikia ligi kuu(VPL) kwa figisufigusi, ndio kusema ni marefa wenye maslahi binafsi ndio wamefanikisha timu hiyo kufikia ilipofikia.
Sipendi kuilamu FAT kuachilia Lipuli iingie mtanangeni kiujanja ujanja, maana hayo yalishapita na kila mtu alishasahau sasa tunaangalia ushiriki wake ligini ukoje.
Kwa kifupi Lipuli imekosa impact kabisa tangu msimu kwa kwanza wa ligi kuanza, hii timu inapotezwa na mtu mmoja tu KOCHA MCHEZAJI, The man himself. Huyu ndugu yetu hata umwambie nini ni yanaingilia huku na kutokea huku.
Mtu unamwambia kabisa ndugu yangu kwa jinsi game inavyoenda hivi ni bora tuue winger moja tuongeze penetration hapo kwa straikers mtu anakubishia kwa nguvu zote, eti mipira yote itapitia kwangu(mid-field) na yeyote akithubutu kupiga direct kwenda golini nitamtoa timuni.
Haya basi game ishakua ngumu, rudisha kikosi nyuma tuanze kupiga pasi fupi fupi kumchosha adui, jamaa anajibu there is no going back! Komaeni mpaka turudishe goli. Sasa goli litarudije ilhali jamaa wametuzidi kila kitu mpaka umiliki wa mpira uwanjani, mbaya zaidi wanatuchezesha nusu uwanja.
Kama hiyo haitoshi tumemwambia kuna watu wakufanyia sub, washachoka, halafu kwakua wewe umo humo humo uwanjani huwezi kudetect mchoko wao bado anabisha, eti sub nitafanya mimi nitakapojisikia. Sasa ndugu yangu mpira hauendi hivyo, Lipuli imeshika dhamana tu ya wanairinga sio kwamba nyinyi pekee ndio mnajua mpira. Tunachotaka ni maendeleo ya mpira kwa mkoa mzima.
Kwakweli kocha mchezaji unatuangusha sana, ni kwavile tu timu nzima ya uongozi wa FAT ni watu wako ila trust me isingekua hivyo wallah next season ya VPL ungeisikia bombani tu.