Kilakshari
JF-Expert Member
- Dec 13, 2008
- 350
- 20
Kuna sababu yoyote kwanini Mbwana Samatta akuanza kipindi cha kwanza na kufanya awe substute?
Baada ya kibano cha leo Taifa Stars, huu ndio msimamo sasa....
Group D
P W D L GF GA Pts
Morocco 4 2 1 1 5 1 7
CAR 4 2 1 1 5 3 7
Tanzania 4 1 1 2 4 5 4
Algeria 4 1 1 2 2 7 4
Mkuu 2015 kuna nini? naomba tujulishane.Hapa hatuna chetu tukijitahidi tutaishia hapo hapo au itaongezeka point moja tu na Algeria na tena kama tukiwaotea.Tujitahidi tu kuiimarisha u23 ndiyo itatusaidia 2015
Mkuu 2015 kuna nini? naomba tujulishane.
Mimi huwa sielewi wachezaji wetu wana matatizo gani.
Mimi huwa sielewi wachezaji wetu wana matatizo gani.
dah alietuloga bongo nampa kumi si tano manake kila mahali tumelala dooorohttp://http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=17891
Ngoja tusikie sababu za Kibabu mara mvua ooho tumenyimwa goli lile huwa hatukosi sababu ingawa sometimes ukweli upo wazi kuwa hatuna timu madhubuti