Endelea basihuyo mtaalam... huwa hafanyi makosa akiwa kazini, kipind cha zaman kidogo.... wazungu walienda tabora... wakasikia habari ya kiumbe huyu( kama ilivyo marufuku kumtaja jina)... wakabisha sana juu ya habar zake... maana wao walikuwa wanaamin hakuna kama cobra..
shauku ilivyowajaa... wakatoa dau zuuri... kwa kijana atakayemkamata 'mtaalam' na kuwaletea..... ghafla akajitokeza masai mmoja kwa kujiamin.. kuwa wampe siku tatu... atakuwa ameshamkamata....
masai akazama vichakani.... katika kupitapita... akamkuta mtaalam anakula asali..... masai akamvalisha gunia mtaalam pamoja na mzinga wa asalii.....
aisee... itaendelea... nisije nikafungua uzi ndan ya uzi....
Duuu aiseeeeHuyu jamaa ameng'atwa na Kifutu Puff adder ni bora koboko unakufa tu basi yanaishaView attachment 767695 View attachment 767696 View attachment 767698
Anaitwa secretary birdaisee...huyu kweli kama brother k ..duuhh "" cheki alivyo mfanya ...!! anaitwa nani huyu ?
Ivi tanzania wapoo maeneo gani haswaaView attachment 767719
Eneo la kujidai la Puff adder Kifutu.
duuuhhPuff adder bite View attachment 767365
Uzuri wa sumu ya Koboko ni neurotoxin na Cardiotoxin inashambulia mfumo wa fahamu na kuuzimisha moyo ila Puff adder ni habari nyingine sumu yake inaenda kugandisha damu na kuozesha nyama.duuuhh
Angalia hao wazunguMkuu koboko msikie tu
Akikugonga huyo hata usia wa urithi huachi ni papo hapo buriani[emoji1321]
Na sio kwa wa africa tu anaogopeka
Wazungu ndio wanamkimbia kabsaaa
Ndio maana wakampa jina la BLACK MAMBA[emoji1321]
Mungu wa ajabu, [emoji23][emoji23][emoji23]Nyegere anatafuta black mamba sijui koboko na aina yeyote ya nyoka,Nyoka ndio wanamkibia..
Tanzania nzima ila wanaenda wanapungua sana unajua siku hizi madawa ya kilimo yamekuwa mengi.Ivi tanzania wapoo maeneo gani haswaa
Hahaaaaa umechekeshaaaaKuna tetesi kuwa sumu ya Koboko ni dawa ya UKIMWI na saratani.
Ha ha nmecheka ulivyomaliziaMkuu huyo nyoka na mjua vizuri sana nimesoma uko tabora boys wapo wengi tu akisikia binadam anajongea sehem alipo hua anafoka kukujulisha nipo maeneo haya so usimzuru na unaweza pishana nae bila tatizo lolote.sisi tulikua tukiona ana vuka barabara tuna mchezea kwa kumvuta nyuma alipo toka anaishia kufoka tu ila hiyo mashine nyingine ilishawahi kuzingua watu makabulini akuna aliye baki nahisi ata marehem asinge kua ndani ya jeneza angekimbia
[emoji23] [emoji23]Ila Koboko mwenye hasira akikubananiza, ukimuimbia ule wimbo Sina makosa wa Les Wanyika anakuacha.
duuuuhhh""aisee...sipendi kuuwa nyoka "" lakini hapa nimejikuta naanza kufikiria upya kuhusu huruma yangu kwaoHuyu jamaa ameng'atwa na Kifutu Puff adder ni bora koboko unakufa tu basi yanaishaView attachment 767695 View attachment 767696 View attachment 767698
Hahahaha ni Secretary Bird nimejaribu kuangalia anaitwaje Google eti KATIBU yaani hivi huyu mkalimani nani alimruhusu?aisee...huyu kweli kama brother k ..duuhh "" cheki alivyo mfanya ...!! anaitwa nani huyu ?
hahaa anatoa kichapo huyoAnaitwa secretary bird