AL SHARPTON
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,797
- 953
Mkuu wakati niko porini kwa sababu black mamba ana uwezo wa kuruka tulikuwa hatusogei karibu. Akitokea ghafla ni mawe na Vipande vya magogo tu.
Kwahio tukielekea Porini tukakuta kichuguu humimina mafuta ya taa ndani yake na kukaa mbali.
Basi nyoka yyt aliomo humo ndani mbio atakayotoka humo si ya kawaida.
Koboko (black mamba) huwezi kumsogelea bila kuwa Mtaalamu wa Nyoka. Na sababu kuu ni ule Urefu wake. Anaruka ka bullet. Na sisi wengine Viazi na ugali kila siku tulikuwa Wazito sana kwa hio we never take a chance!
Na kingine hawa Koboko sumu yao ilivyo kali huwa inapanda Mwilini fasta sana na kusimamisha moyo faster than you think.
Kuna Bubu mmoja aligongwa na Huyu Koboko kaja mbio kambini anapiga kelele tumeshindwa kuelewa nini anasema amekufa chini ya dakika 10!
Sura yake na macho yake yalibadili rangi ajabu kabisa.
Huyu Nyoka ukikutana nae ni kurudi nyuma na Kumtazama mpaka apotee. Ukimpa mgongo tu umeondoka.
Hatari kuliko kupiga kofi Polisi wa bongo mwenye njaa!
Shukran kwa elimu ya hili joka. Nilikuwa nina safari ya kwenda porini Handeni kwenye madini lakini imebidi niiahirishe kidogo sababu ya hii story ya koboko manake nasikia huko Kwedikwazu wamejaa
usitishike mkuu nyoka nao wanatuogopa. weka roho yakipioneer ukapige pesa. kuna jiwe la kuwaenzi pioneers linasema "waoga hawakuanza safari, dhaifu waliikufa njiani na wenye nguvu walifika mwisho".Shukran kwa elimu ya hili joka. Nilikuwa nina safari ya kwenda porini Handeni kwenye madini lakini imebidi niiahirishe kidogo sababu ya hii story ya koboko manake nasikia huko Kwedikwazu wamejaa
usitishike mkuu nyoka nao wanatuogopa. weka roho yakipioneer ukapige pesa. kuna jiwe la kuwaenzi pioneers linasema "waoga hawakuanza safari, dhaifu waliikufa njiani na wenye nguvu walifika mwisho".
Ashiiiii.......basi nitaanza kumuogopa.
mie nilijua akija nitampiga hata kwa ndala au ufagio
Mama yangu aling'atwa na nyoka akiwa msichana kwenye kisigino cha mguu wa kushoto that's like 50 yrs ago now kuanzia 2009 akaanza kuumwa sana na huo mguu, mara unakufa ganzi mara unavimba unakua mwekundu mno, hospital kahangaika mno kila daktari anakuja na majibu tofauti, mwingine akasema nyonga imeisha vilainishi so ikabidi awekewe chum a k wenye nyonga (artificial) hakukaa mzima sana mara mguu ukaanza tena kuuma zaidi ya mwanzo, kuhangaika tena mpaka kwa ma experts wa mifupa jibu likaja kuwa Eti kuna kitu hawajakielewa ila kinatafuna mfupa kuanzia mguu wa kushoto chini na tayari imesambaa mpaka mwanzo mwa uti wa mgongo kwa chini, napo inabidi a fanzine tena upasuaji k wenye kiunganisho cha uti wa mgongo na kiuno napo aka we kwa chuma kingine tena (artificial) hiyo ni mwaka jana
Lakini......kwa mujibu wa maelezo yake alipong'atwa na nyoka mamake alimnyonya sumu kwa mdomo then akamuwekea dawa ya Maja ni ambazo hakumbuki ila alikichana kwanza kidonda alipong'atwa hakwenda hospital hiyo ndo ikawa tiba na akapona siku mbili tu.
Sasa kilichonifanya nichangie nI kuomba kujuzwa zaidi manake kuna wataalamu fulani wa sumu alienda kuwa on a (nje ya nchi) wakamfanyia vipimo na majibu yao (waliokuwa wanne) yanasema kuna uwezekano wa asilimia 90 sumu ilifanikiwa kubaki kwenye mwili na hatimae ilipenya kupitia mifupa wa kisigino......ex ray pic ya kisigino inaonyesha utandu mkubwa mno just on a small part ya kisigino...kitu kama fungus!!!
Hata nyoka wako napigana nae tu
Hahaahha we mtundu sana
Unaweza kumnyonya kichwa?
Kuna vile vinyoka vidogodogo...nikajua nitamuua kama vile vidogo vya kijani
Kwedikwazu sidhani km hawa koboko wapo.
Na hata km wapo basi watakuwa wachache sababu Hata huko Usukumani na Unyamwezini Kuna baadhi tu ya mapori ndio unawakuta wengi.
Hasa Mapori yenye miti ya MININGA!
Mapori ya Tanga miti hii ni michache mno!
Jipange tu ukapige hayo mashimo ya Fweza. Mchukue na Remote km ngao. Jamaa hana kazi, anazurura ovyo tu mjini.
Ukiona Nyoka mtangulize yeye.
Mkuu huyu Madame B anasema Ana nyoka mwenye kufanana na Dushelele.
Sasa sijui ana maana gani hapa.!
Watu wanajadili Koboko, ye anatupeleka kwenye hisia mbovu!
Hatari sana.
Hahaha cybercrime inahusika shauri zenu
Jf stress freeeeee
Nimecheka sana eti amtangulize. Remote