Mkuu
Matola Mbwa wangu wawili German shepherd walikufa mwezi uliopita daktari aliyekuwa akiwatibu aliniambia sababu ya kufa ni sumu iliyoko kwenye mahindi ambayo madhara yake kwa binadamu yanachukua muda mrefu.Mahindi yana sumu ni kweli kabisa kabla ya kusaga mahindi ni vyema ukayaosha na kuanika ili kuondoa athari zake kiafya.