Kobe Alex mwenye miaka 200 yupo Arusha School

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,261
Reaction score
12,662
Inabainishwa Kobe huyo ndie kiumbe hai mwenye umri mkubwa kuliko yeyote Tanzania.

Source: Citizen 09/08/15
 
huyo kobe hata mimi namfahamu nilimwona mwaka 1998 daa bado yuko hai
 
Nitashangaa sana kama Hawajampandisha kwenye ndege kama wale twiga!!
 
Kuna mti una miaka 700 upo tanzania, sikumbuki sehemu.
Kuna kobe yupo zanzibar ana miaka 500. Nimemsahau pia.
 
Ni kweli huyo kobe yupo.
Like 3 years nilimuacha akiumaliza uwanja wa mita 100 kwa siku nzima mchana na usiku, pia kichwa na miguu yake hawezi kuificha tena kwenye gamba lake.
 
Nitashangaa sana kama Hawajampandisha kwenye ndege kama wale twiga!!

Inasemekana ukimchukua umpeleke elsewhere tofauti na hapo shule anatia mgomo wa Kula hivo inabidi umrudishe,attempt ya maliasili kumwondoa Arusha pr school iligonga mwamba analishwa na madogo pale safi wanamgea makabichi etc Maisha yanaenda...
 
Aise duuu bado yupo nliondoka pale 20 years ago umenikumbusha mbali sana mkuu
 
Kuna mti una miaka 700 upo tanzania, sikumbuki sehemu.
Kuna kobe yupo zanzibar ana miaka 500. Nimemsahau pia.

Tupe tu source tufananishe na hiyo makala ya citizen maana wameconclude kabisa kwamba ndo the oldest creature kwa Tz
 
Ni kweli kabisa, nimemaliza mwaka 99 pale arusha school yule Kobe ana umri mkubwa, walimu waliokuwa karibu na pale shule enzi hizo walikuwa wakimlinda kwa jitihada kubwa, mfano mwalimu mkuu wa kipindi hicho Mr. Kiduma, Mr. Shaibu, Mr. Sawaki, Mr. Chagula na wengineo... Majuzi niliona taarifa star TV kuwa kuna watu walikuja kumuiba wakashindwa! Huyo Kobe amenikumbusha mbali sana kwa tuliosoma pale, na kwa wale waliosoma pale watakubaliana na haya niyasemayo.
 
Picha...
 
Attachments

  • 1439151268094.jpg
    38.6 KB · Views: 484
Huyu kobe nampata vizuri sana maana wanangu wanasoma pale Arusha school nimemshuhudia mwenyewe kweli muda wote miguu na kichwa hawezi kuficha, na wanafunzi ndo wanamlisha .
 
Inasemekana ukimchukua umpeleke elsewhere tofauti na hapo shule anatia mgomo wa Kula hivo inabidi umrudishe,attempt ya maliasili kumwondoa Arusha pr school iligonga mwamba analishwa na madogo pale safi wanamgea makabichi etc Maisha yanaenda...
Hehehee! Nimeipenda hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…