Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Ninashangaa kwa nini vyombo vya habari kama TBC, ITV, etc na vingine havina channnel wala clip ya youtube za taarifa za habari za kila siku. Huwezi kuon au kusikia video ya taarifa ya habari kwenye tovuti ya TBC . Nini maana ya chombo cha sasa ?
Nilidhani ni kazi kubwa sana But leo nimejifunz ana nimejaribu kuweka video youtube kwenye na kuiunganisha kwenye tovuti ni kama 1+1
hapa kwenye web yangu ya mazoezi Video of the day nimejaribu kuattach video . Video inaeleza mambo ya msingi yanayohusiana na mabadiliko kutoka analog TV transmision to digital transmission
So nini kinahitajika kuaattcah video kwenye tovuti?
Kwenye video ya youtube kuna sehemu ina neno embed . Ndani ya kibox cha embed kuna code za iframe amabzo ukizocopy na kupaste kwenye ukurusa wa tovuti ko basi video hiyo inaonekana kama iko hosted kwenye web na sio youtube
TVT, ITV, na vyombo vingine vingine vya habari aibu vitu vidogo hivi vinawashinda nini? You tube ni bure.Tutasema tunakosa nini?