Know something about (Allergies)

njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,367
5,505
Interesting .. we doctors tunakutana na hii kitu kila siku... leo hii nataka ku share na ninyi something about the so called ALLERGIES .....

what is it..?!

Simply naweza nikasema an allergy ni reaction ya mwili to substances that are generally not harmful.... For those who had little medical knowledge we might define an allergy as an exaggerated immune response.

Nini kinasababisha Allergy .?

Kwanza ujue allergy ni common (usitaharuki sababu ati una allergy) Genitics au environment factors play role. The immune system (niliwahi sikia redioni wasema kwa kiswahili ni Askari mwili ) normally protects the body against harmful substances, such as bacteria and viruses. It also reacts to foreign substances called allergens (allergen kama jina lake lilivyo ni kitu chochote chenye kukusababishia allergy kikiingia ndani ya mwili immune system ina detect hiki kitu as a foreign object , invader, trans-parser na kuanza kukishambulia ) Jua kwamba Allergens are generally harmless and in most people do not cause a problem. Mfano mimi hapa nina allergy na samaki wekundu its genitic in my family tukila samaki wekundu ngozi inatoka mabaka kama mapunye flani.. yanapotea baada ya wiki kadhaa..

Any person with allergies, the immune response is oversensitive. When it recognizes an allergen, it releases chemicals such as histamines. which fight off the allergen.

Hii vita kati ya immune system na allergens ikisaidiwa na histamine huwa inaleta matokeo mabaya ... mfano -

-kuwashwa na ngozi (itching)

- kuvimba (swollen)

-mucus production ( inaweza ikawa kwa njia ya mafua kamasi nyembamba au kwa njia yeyote)

- muscle spasm

- hives (sijui kiswahili chake but zatokea kama vijipele kwenye ngozi vyekundu vyawasha sometimes)

- rashes

P.S .. symptos inategemea mtu na mtu zipo nyingi ila hizo hapo juu ni common

Sometimes Allergic Reaction can be caused by -

- Insect bite

- jewelry

- cosmetics

- spices

- dust

- paka, mbwa na wanyama wengine tunaowafuga

kuna watu wengine wana allergy to hot na cold temperatures, sunlight, Allergies may make certain medical conditions such as sinus problems, eczema and asthma .

Symptoms (Dalili)

- Breathing problems
- Burning, tearing, or itchy eyes
- Conjunctivitis (red, swollen eyes) >> kule kwetu kuna baadi ya mikoa wanawakamata uchawi watu wenye huu ugonjwa wakisingizia ni wanga
- Coughing
- Diarrhea
- Headache
- Hives
- Itching of the nose, mouth, throat, skin, or any other area
- Runny nose
- Skin rashes
- Stomach cramps
- Vomiting
- Wheezing

>> Skin testing is the most common method of allergy testing. One type of skin testing is the prick test. hii test involves placing a small amount of the suspected allergy-causing substances on the skin, and then slightly pricking the area so the substance moves under the skin. The skin is closely watched for signs of a reaction, which include swelling and redness.

Zipo Test Nyingi za Allergy ukienda hospitali iam sure dactari atakupa options .

Treatment

Niliwahi kupigiwa simu toka tanzania na ndugu yangu alikuwa na Allergy na Dawa flani bahati mbaya dactari wake alikuwa bado anaendelea kumpa mwishoe akapata savere allergy , nikamwambia aende dispaensary for epinephrine.

Epinephrine can be life saving when immediately given inatumika sana na watu wenye Asthma inasaidia kufungua air passages and makes breathing easier. This drug can be used in so many other ways " u should seek a Doctors Advice for this)

Ila the Best treatmeant For Allaergy ni kuachana na kitu kinachokusababishia allergy / kama ni vumbi jitahidi ukae mbali nna vumbi, kama ni chakula jitahidi usile aina hiyo ya chakula, kama ni kinywaji jitahidi isinywe hicho kinywaji. Kama ni dawa mwambie dactari wako una allergy na dawa flani kabla hajaanza kukutibu.

Zipo Dawa nyingi za allergies zinapatikana OTC mfano
ANTIHISTAMINES ,CORTICOSTEROIDS, DECONGESTANTS ..... ETCL


AFYA NI JIKUMU LAKO WEWE MWENYWE

Peace out!


 
Ukweli kutoka Moyoni; Nieipenda hii!
Unaiwa nani tena?...NJIWA...Thanx njiwa (kaka/dada)!
 
Asante sana njiwa,
nazidi kuamini kuwa binadamu wanaojitambua na kujua thamani ya uhai wao,
utawatambua kwa maneno na matendo yao,
asante sana.......
 
Back
Top Bottom