Knock knock mwenzenu mgeni.

kadodoo

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
66
Reaction score
15
habari zenu wakubwa kwa wadogo mwenzenu naomba niwe mgeni wenu humu ndani nimevutiwa sana na maisha ya humu ndani na watu wake tafadhari mnipokee naomba tena kwa mikono miwili,naamini sie wamoja na ntapokelewa kwa amani na upendo asanteni nyote
 
Tunakupokea vzr...unapakatwa unapewa maji baridi
 
karibu kwetu na watakiwa kuishi kama tuishivyo ukileta za kwako utokako tunakumwagia gunia la chawa ujikune sawasawa!
 
Karibu sana kadodoo

Nikiwa kama baba yako nataka nikupe mawili machache ya hapa

Tuliza sana akili yako, usivutiwe na vishawishi vya watu wanavyovitoa hapa na kwa kumalizia kuna mambo mengine yanakua ya utani tu kama kuchangamsha jukwaa kwahiyo usiwe unayachukulia kivile au sio?

Karibu sana
 
asanteeh jinsi yngu m ni ke jaman mwanadadaaa hahaaa asanten kwa ushauri mzurii nami napenda sana utan na kabla ykuomba kuingia humu nimekuwa mfuatiliaji wa kila ktu so nlisoma mchezo kwanza nkaona ntamuduu asanteee wapenzi
 
asanteeh jinsi yngu m ni ke jaman mwanadadaaa hahaaa asanten kwa ushauri mzurii nami napenda sana utan na kabla ykuomba kuingia humu nimekuwa mfuatiliaji wa kila ktu so nlisoma mchezo kwanza nkaona ntamuduu asanteee wapenzi

Ukauona mchezo mtamu ukaamua kushiriki naww.
 
Karibu mjengoni ...ramani ya nyumba utapatiwa kwa picha na mkuu Tyta mzee wa mapicha
 
Last edited by a moderator:
Karib sana mgeni,u knw ulivyokuja kwangu private kama mjumbe nilivuta subra ujitambulishe mwenyew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…