KLM waripoti Tanzania kuna 'civil unrest'. Hii ina maana gani?

27th, 28th, 29th, 30th and 31st zipite kwa amani, Amen.
Unrest ipo wapi katika nchi yetu Tanzania? (nadhani wanajaribu sabot tourist influx)

Aidha kupitia intelejensia yangu tu binafsi, kwa kuwa juzi rwanda aliishoot ndege ya DRC lakini ikatua salama goma suala hili linaweza kulink na hili ukizingatia Kenya anamajeshi huko! na hapo imetajwa Kenya na Tanzania, lakini mbona tanzania hatupo huko? Why us?
 
Nini kinaendelea? TISS wanasemaje? Wasafiri wana habari? Punguani mjengoni wanajua kinachoendelea?

Hamna namna, tumwachie yeye
 
Tanzania hakuna ugaidi hii ni vita ya kiuchumi

Lengo la mabeberu na vibaraka wa ushogo weusi baada ya kuona tuna strong political stability now na tutawaangusha kiuchumi wanakuja na mambo yao mapya ili tuendelee kuwa chini kiuchumi kuliko wao!!

Hata Ile story ya jana ya meli inayotaka Tanzania kuanguka IRAN ni mikakati Ile Ile nimeona imesambaa Sana Ile habari why? CNN & .CO wote wameitangaza kwa haraka!!

TISS fanyeni jambo kwenye hili swala!! Kenya na Rwanda ni nchi hatari Sana ukanda huu wa EAC tunatakiwa kuwa nao makini Sana!!.
Utamwangusha lini mzungu wewe kiuchumi? Hadi leo unachambia kopo za kutu na kulalia neti kuogopa mbu wanaokuzingira useme utawaangusha wazungu wewe?

Mkishashiba dagaa na kuangusha hizo manii zenu mnajionaga watu kweli!!

Mnatia kinyaa.
 
Tanzania hakuna ugaidi hii ni vita ya kiuchumi

Lengo la mabeberu na vibaraka wa ushogo weusi baada ya kuona tuna strong political stability now na tutawaangusha kiuchumi wanakuja na mambo yao mapya ili tuendelee kuwa chini kiuchumi kuliko wao!!

Hata Ile story ya jana ya meli inayotaka Tanzania kuanguka IRAN ni mikakati Ile Ile nimeona imesambaa Sana Ile habari why? CNN & .CO wote wameitangaza kwa haraka!!

TISS fanyeni jambo kwenye hili swala!! Kenya na Rwanda ni nchi hatari Sana ukanda huu wa EAC tunatakiwa kuwa nao makini Sana!!
Tanzania hakuna ugaidi hii ni vita ya kiuchumi

Lengo la mabeberu na vibaraka wa ushogo weusi baada ya kuona tuna strong political stability now na tutawaangusha kiuchumi wanakuja na mambo yao mapya ili tuendelee kuwa chini kiuchumi kuliko wao!!

Hata Ile story ya jana ya meli inayotaka Tanzania kuanguka IRAN ni mikakati Ile Ile nimeona imesambaa Sana Ile habari why? CNN & .CO wote wameitangaza kwa haraka!!

TISS fanyeni jambo kwenye hili swala!! Kenya na Rwanda ni nchi hatari Sana ukanda huu wa EAC tunatakiwa kuwa nao makini Sana!!.
huu mradi wa umeme unawauma sana Tanzania to build Stiegler's Gorge dam in a wildlife reserve and Unesco site - LifeGate. Hi vita ya kiuchuni inabidi iwe na team maalum ku dral nazo
 
Ndo maana CCM ya mwenyekiti Samia Hassan imebidi kuanza maridhiano maana walichokuwa wanafanya CCM ya JPM kwa miaka 7 kuzuia mikutano ya siasa ya hadhara, uchafuzi wa uchaguzi, kesi mahakamani zisizo na mashiko n.k zimepelekea wasiwasi wa machafuko.

Hongera kwa CCM ya Samia Hassan kufanya mageuzi ya kuondoa makatazo haramu, kurejea mezani kutafuta maridhiano n.k hali hiyo itaondoa dhana ya uwezekano wa machafuko nchini.
Nimeshindwa kuiunganisha habari ya KLM na hii ya kwako. Ni kama zinapingana!

Kwa nini pawepo na taharuki wanayoizua KLM na wengine wakati huu, huku kama ulivyoeleza wewe hapo juu, hali hiyo ya wasiwasi tumekwisha ondokana nayo?

Hawa KLM na wenzao, sijui kwa nini wanachafua biashara ya Utalii aliyoitolea jasho Samia.
 
Misikiti nayo siyo salama, sababu eti Wazungu watalii wakiwa Dar hupendelea kutembelea masjid.
Kuna jambo mahala haliko sawa.

Mbinu za hawa wazungu siku hizi wakishakuwekea nyongo ni "kuweka vikwazo vya uchumi" kama walivyofanya Zimbabwe; au waweka ngumu kuhujumu uchumi wako kiaina. Hapa lengo ni utalii.

Tusichojua hadi sasa ni kinachosababisha tupigwe vita hii. Inawezekana ikawa msimamo tuliochukua kwenye vita yao na urusi?
 
Hivo hivo hivo tuuuu si mleta civil unrest kaja , kaacha familia yake ulaya yeye akaja bongo ili kuwapeleka bongo lala barabarani ili waandamane afuuu yeye asepe kimya kimya , au sio bongo lalaz hahaaa dabh. Watanzania ni matahira kabisa ,,NDIO MAANA MAGUFULI ALIKATAZA. TAKATAKA ZA SIASA MAJI TAKA , ZA KUKALISHANA JUANI NJAAA KALI....
 
Huyu Balozi wa Marekani aliyemaliza muda wake bwana D.J Wright alikuwa muungwana sana tunarudi enzi za kale kamama kalikokuwa kamekaimu toka 2016 hadi 2020.

Siasa za maji taka tu hizi hakuna ugaidi wala nini, mbona hawakutabiri tukio la 1998 Dar&Nairobi?

Au Tarimo katuponza?
 
We ni lipumbavu na lipopoma kiasi hiki kumbe? Utamwangusha lini mzungu wewe kiuchumi? Hadi leo unachambia kopo za kutu na kulalia neti kuogopa mbu wanaokuzingira useme utawaangusha wazungu wewe?

Mkishashiba dagaa na kuangusha hizo manii zenu mnajionaga watu kweli!!

Mnatia kinyaa.
Kwa iyo wewe unataka iweje?

Nenda basi ukatuwakilishe, ukalambe 'their behind' kwa niaba yetu!
 
wenzetu huwa wapo straight sana kwa masilahi ya watu wao

ukiachili kuwa wana fitina za hapa na pale lakini maranyingi
huwa wanapenda kuchukua tahadhari wameheshi angalizo la mamlaka yao
 safi sana sio bongo wao wanawawazia wananchi wao kodi na tozo mpya
ila kihusu maisha yako ujipambanie kivyako

Wao hawakuoni wewe kama mwenzao hata kwa bahati mbaya acha kujipendekeza
 
Tanzania hakuna ugaidi hii ni vita ya kiuchumi

Lengo la mabeberu na vibaraka wa ushogo weusi baada ya kuona tuna strong political stability now na tutawaangusha kiuchumi wanakuja na mambo yao mapya ili tuendelee kuwa chini kiuchumi kuliko wao!!

Hata Ile story ya jana ya meli inayotaka Tanzania kuanguka IRAN ni mikakati Ile Ile nimeona imesambaa Sana Ile habari why? CNN & .CO wote wameitangaza kwa haraka!!

TISS fanyeni jambo kwenye hili swala!! Kenya na Rwanda ni nchi hatari Sana ukanda huu wa EAC tunatakiwa kuwa nao makini Sana!!.

Kwahiyo Kenya wameiambia KLM ndege zisije DSM na Nairobi?

Kenya na Rwanda zina hatari gani hasa zaid ya story zenu za vijiweni na kuwapa sifa hewa? Nini hasa cha ajabu wamefanya?

KE na RW ni nchi za kawaida sana ila nyie mitanganyika hampendi kutumia bongo zenu na inferiority complex inawasumbua.
 
Back
Top Bottom