KLM waripoti Tanzania kuna 'civil unrest'. Hii ina maana gani?

Wakuu,

Nini kinaendelea?

View attachment 2497584

Nimeikuta hapa > https://www.klm.co.tz/information/travel-alerts

===
Latest alerts and rebooking policies
Tanzania - Civil unrest
Due to civil unrest in Tanzania from Friday 27 January up to and including Monday 30 January 2023, some of our flights to, from or via Dar-es-Salaam (DAR), Kilimanjaro (JRO) and Zanzibar (ZNZ) may be disrupted. We are doing our very best to help you on your way again.

Rebooking and requesting a refund
If you have booked a flight to, from or via below-listed destinations on Friday 27 January up to and including Monday 30 January 2023, you can see below what rebook and refund options we can offer you. These options are only valid if you have a ticket originally issued on or before Friday 27 January 2023.

Dar-es-Salaam, Tanzania (DAR)
Kilimanjaro, Tanzania (JRO)
Zanzibar, Tanzania (ZNZ)
Does your original flight depart on Friday 27 January up to and including Monday 30 January 2023 to, from or via any of the above-listed destinations. Then your new departure date should be before or on Monday 6 February 2023. You can rebook your flight at the latest on Wednesday 1 February 2023.

Please see below options and rules:
1. Rebook to a different travel date
If your flight was cancelled by us or if you cancelled the flight yourself, you can rebook to a different travel date. Please note that:
You can only change your travel dates for free if the same travel class is available as mentioned on your original ticket.

Your new departure date should be before or on Monday 6 February 2023.

2. Request a travel voucher
If your flight was cancelled by us or if you cancelled the flight yourself, you can request a travel voucher. Please note that:

You can request a travel voucher that will be valid for one year from the date of issue.

You can use this voucher for all KLM, Air France, Delta, and Virgin Atlantic flights that are offered on the Air France KLM website.
You can also use the travel voucher to buy extra options like upgrades, specific seats and baggage on KLM and Air France flights.

Request a travel voucher
3. Request a refund
If any of your flights was cancelled or if your flight was delayed for more than 3 hours, you can request a full refund of the ticket and extra options.
===

Hii ni kuichafua Tanzania yetu. Civil Unrest kwetu imetoka wapi?

Nilipoona alert ya US Embassy nikadhani utani, na hawa wameamua kuunga tela?
Hawana abiria hao.Biashara ya safari za ndege imekuwa biashara ngumu sana sasa hivi kwa mataifa ya Ulaya.Biashara iko Qatar,Emirates na Ethiopiana airlines
 
Soma hapa tamko la BAKWATA kuhusu hali ya nchi :

Sheikh Abuu: Tujihadhari, amani inaweza kuvunjika kupitia mijadala ya kimadhehebu inayoendelea​

............. Source :

Mitandao ya kijamii imefurika malumbano ya kidini pande zikitishiana kuvunjiana amani ya roho, amani ya mali, amani ya heshima n.k anaasa Sheikh Abuu Iddi msaidizi wa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania alipoongea na vyombo vya habari nchini .
Huyu sheikh ni miongoni mwa masheikh wapuuzi na hutumiwa kutamka mambo ya Utata.Masheikh kweli huwa hawanukuliwi na vyombo vyetu vya habari.
 
Watu umu ndani ni hamnazo kabisaa mnakumbuka tukio lililotokea uganda la kidaidi licha ya kutaadharishwa na Marekani wao wakapuuzia na likatokea kweli juzi Marekani ilitaadharisha kuusu shambulio la kigaidi nchini nilishangaa sana baada ya wanasiasa na viongozi wa polisi kutoa maneno ya kisiasa bila kufatilia taarifa ile ili kuzuia tukio lazima tukumbuke waziri wa mambo ya ndani kupitia kauli yake mwenye mwaka jana alisema bado kuna viashiria vya ugaidi nchini hasa Arusha, Geita, Pwani kama viashiria vilikuwepo inaamaana chochote kinaweza tokea wenzetu hawako kama chawa kushabikia ujingaa wakipewa taadhari wanafatilia na kutoa matamko kwa wananchi ili kusaidia kupata taarifa staiki inapobidi sisi ni ujinga ujingaa

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app

We umejuaje kama tz hatufuatilii? Hiv unajua katika nchi za africa mashariki tanzania pekee ndiyo imeweza kuondokana na ugaid?

Unakumbuka walivyoingia mkuranga? Unakumbuka kwenye mapango ya amboni kule tanga? Unakumbuka hadi walikua wanajinasibu huko youtube kwamba wanaenda kuiangamiza tz?

Na unajua kule mtwara walianza kuingia kuja kuchukua chakula? Tena hadi wakaua mwanajesh nini kimewatokea unajua?
Nataka nikuhakikishie ugaid hakuna tz na hautakuwepo jwtz wako vizuri sana kwenye ulinzi!
Usicheze na kikosi cha ngerengere wewe!

Kenya na rwanda zinaichokoza sana tz lait tungekua legelege hadi sasa wangeshatuua kiuchumi!
Amini nchi yetu ina uwezo mkubwa sana wa kujilinda licha ya madhaifu ya kisiasa!

Halafu ujue tunategemewa sana na nchi jiran kwenye suala la ukombozi!
Hadi visiwa vya comoro huko sisi ndiyo tegemeo lao
 
Eti civil unrest iko kwenye kalenda kabisa itaanza Ijumaa itaisha Jumatatu!

Ndio maana Kamanda ASCP Misime kaipuuza taarifa ya ubalozi, kasema Watanzania endeleeni na shuuli zenu. Very ballsy move by security organs.
wameipanga kwenye kalenda kwa kigezo gani. Ujinga mtupu
 
USA embassy wanafanya sio poa. Ilitakiwa wakipata alert wawape watu wa usalama washirikiane nao kushughulika na hilo.
Labda tu kama lengo la usa embassy ni kutaka kudisturb ishu za utalii nchini.
Ishu ya ugaidi ni wageni wangapi wamefuta safari zao za kuja nchini
Hawa ni KLM. BTW, USA wakitaka kuvuruga utalii wetu wana njia zaidi za kufanya.
 
We umejuaje kama tz hatufuatilii? Hiv unajua katika nchi za africa mashariki tanzania pekee ndiyo imeweza kuondokana na ugaid?

Unakumbuka walivyoingia mkuranga? Unakumbuka kwenye mapango ya amboni kule tanga? Unakumbuka hadi walikua wanajinasibu huko youtube kwamba wanaenda kuiangamiza tz?

Na unajua kule mtwara walianza kuingia kuja kuchukua chakula? Tena hadi wakaua mwanajesh nini kimewatokea unajua?
Nataka nikuhakikishie ugaid hakuna tz na hautakuwepo jwtz wako vizuri sana kwenye ulinzi!
Usicheze na kikosi cha ngerengere wewe!

Kenya na rwanda zinaichokoza sana tz lait tungekua legelege hadi sasa wangeshatuua kiuchumi!
Amini nchi yetu ina uwezo mkubwa sana wa kujilinda licha ya madhaifu ya kisiasa!

Halafu ujue tunategemewa sana na nchi jiran kwenye suala la ukombozi!
Hadi visiwa vya comoro huko sisi ndiyo tegemeo lao
Hayo matukio yote uliyoyaorodhesha ni hewa.Hakuna waliowahi kuingia mapangoni wala Mkuranga.
 
Tatizo lilianzia pale ubalozi wa Marekani ulipoweka alert ya usalama...
 
Utamwangusha lini mzungu wewe kiuchumi? Hadi leo unachambia kopo za kutu na kulalia neti kuogopa mbu wanaokuzingira useme utawaangusha wazungu wewe?

Mkishashiba dagaa na kuangusha hizo manii zenu mnajionaga watu kweli!!

Mnatia kinyaa.
Hawa wanatakiwa kusamehewa bure. Nchi yetu raia wake lishe ni ndogo hivyo akili ni lazima ziathirike. Haya ndiyo madhara yake. Akishiba dagaa anaona dunia ni yake.
 
Hawana abiria hao.Biashara ya safari za ndege imekuwa biashara ngumu sana sasa hivi kwa mataifa ya Ulaya.Biashara iko Qatar,Emirates na Ethiopiana airlines
Bila shaka wangekuwa hawana abiria basi wasingewatishia tena abiria ili wazidi kupungua. Bado tunarudi kule kule. Kusema unataka kujenga nchi kwanza ndiyo ushughulike na mambo ya uongozi bora baadae ni ujinga.
 
USA embassy wanafanya sio poa. Ilitakiwa wakipata alert wawape watu wa usalama washirikiane nao kushughulika na hilo.
Labda tu kama lengo la usa embassy ni kutaka kudisturb ishu za utalii nchini.
Ishu ya ugaidi ni wageni wangapi wamefuta safari zao za kuja nchini
Kwamba ni washindani wetu?

Wao wameona kuna tishio hivyo wameamua chukua tahadhari
 
Back
Top Bottom