Hapo tumewekana sawa sasa, na ndio ulikuwa uelewa wangu ila nikawa nina shaka na upotoshaji wa lughakufanya hiyo kitu inaitwa mapenzi isiende sawa
Hapo tumewekana sawa sasa, na ndio ulikuwa uelewa wangu ila nikawa nina shaka na upotoshaji wa lugha
Najiweka kamili kbs.
Na kweli. Ukiwajulia tu, homa wanapata wao na wewe ni full vicheko!
Wameksidi, hivyo ndivyo mashoga wanavyotamka neno wamezidi
Kijana itabidi ajirekebishe haraka kabla hajaharibikiwa!
@izz haya ndio madhara ya hii mitoto inayojidai ya kisasa.Kijana itabidi ajirekebishe haraka kabla hajaharibikiwa!