Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Kinachofurahisha wakata viuno wapo wengi na mechi inawahusu kuliko hata wahusika.
Wanajua hatupo level moja na kinawakera sana.
Ni kama umuone hohehae akimwona mtu aliyefanikiwa akipita utasikia analalama pesa za majini hizo,Freemason na kadhalika.Huwezi kumsikia hohehae huyo akizungumzia namna ya kujikwamua kwenye hali yake.
 
Nasubiri muurudie tena huo Ubavu nione Mkuu.
Roho mbaya fc....sisi target yetu ilikuwa ni kushiriki hatua ya makundi ambayo tulishafika na tumezidi malengo mpaka sasa...so hatuna cha kupoteza mpaka sasa sababu malengo tushayafikia...
 
Back
Top Bottom