Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Mkuu umesema Mazembe wanafungika nyumbani?
Hatua ya makundi mechi za nyumbani
Mazembe 2 ismaily 0
Mazembe 8 clab African 0
Mazembe 3 Constantine 0

Kifupi hawajaruhusu goli nyumbani na ndo timu ilifunga magoli mengi 13 mechi hatua ya makundi.
Simba ndo timu ilifungwa magoli mengi hatua ya makundi goli 12

Simba kufuzu inaitajika massive improvement kwenye defense hasa mechi za ugenini na kufunga goli za kutosha nyumbani hatua hii ushindi was 1-0 au 2-1 hauna tija tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujaelewa hoja yangu.Mazembe ameshafungwa ktk michuano hii ya makundi akiwa ugenini hivyo anafungika vizuri tu sasa hata akitufunga kwao na sisi tukamfunga kwetu kitakachoamua si magoli tuliyofungana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukipigwa kwenye hatua ambayo tangu unazaliwa hadi leo hujawahi iona yanga ikifika iyo hatua we hayakuhusu...we yanayokuhusu ni haya ya kupumuliwa na kina lipuli...mwaka huu kuna watu lazima mmepata vidonda vya tumbo
kila la heri tupwisa mazembe
 
Ila Simba anaanzia nyumbani ama ugenini
Kuuliza si ujinga lakini masuala mengine ni uzuri ujibiwe kwa ufanuzi ili iwe faida kwa siku zijazo.

Timu iliyoko juu yako ki rank anapewa advantage ya kumalizia game ya marudiano nyumbani.

TP mazembe kamaliza wa kwanza na simba wa pii. Kwa hiyo utajaza mwenyewe.

Kama wangekutana nusu fainali kwa mfano baada ya kushinda mechi zao za robo fainali, bado Simba wangeanza nyumbani kwa vile rank wise TP Mazembe iko juu kuliko Simba.
 
Kwanini Caf wamepanga ivyo,nilitegemea yakuwa mwenye rank ndogo kama Simba angepewa advantage kubwa ya kumalizia nyumbani na yule mwenye rank kubwa basi amalizie ugenini kwani wanakuwa wanauwezo mkubwa.
 
Back
Top Bottom