Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Na Mikia ni kama Dr Shika anaesubiri hela kutoka Russia na ndio akili za Mikia wanaojipa matumaini ya kumfunga na kumtoa Mazembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti Wanjiku naona umerudi baada ya likizo ya uzazi.
Mlianza na Mbabane na sasa mmerukia Mazembe.
Hivi timu yenu haichezi?Anayejifanya Dr.Shika ni nyinyi maskini jeuri.Vipi michango ya usajili imefikia wapi?Imefikia milioni 40??
 
Simba imepangwa na TP Mazembe ya DR Congo kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo iliyochezeshwa mjini Cairo

View attachment 1050159

Mamelodi Sundowns wakikutana na Al Ahly, Horoya AC vs Wydad AC na Esperance vs Constantine

Simba itaanzia nyumbani kutokana mfumo wa michuano hiyo kwa kuwa walimaliza wakiwa nafasi ya pili katika Kundi D.

View attachment 1050158

Simba ilimaliza kundi D katika nafasi ya pili na ikajulikana mapema Kuwa ina nafasi ya kukutana na kati ya timu tatu zilizokuwa vinara wa makundi ambazo ni Waydad Casablanca, TP Mazembe au mabingwa watetezi, Esperance.
=====

Droo ndio hiyo wenzangu wa Simba nafasi yetu ipoje?
Huyu mshambuliaji wao hatari Tresor Mputu inatakiwa kumfahamu mapema. Jamaa kimuonekano anabadilikabadilika kama kinyonga. Kuna wakati huwa mweupe kama mzungu na kuna wakati huwa mweusi.
Tusichanganywe na ubadilikaji wake.
 
Haujanielewa au ulikuwa unamjibu mwingine? Mm nimesema Simba akipita atacheza na Esperance kwa ratiba inavoonesha toka website ya CAF
Braza sevu comment yangu lazima tufuzu. Tp kafuzu na point 11 out of 18 alituacha point mbili alafu na kumbuka kundi lake alikuwa na vijitimu vidogo ukilinganisha na kundi letu Ambayo lilikuwa kama li kifo na kumbuka tumezifunga timu zilizoshiriki fainal mwaka jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba anakwenda Fainali, Macho yako yanaona kama Mimi ,wanaoteseka wako wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
lakini nakumbuka mwaka 2011 kama sijakosea simba ilicheza na mazembe tp japo nimesahau matokeo nakumbuka ndo kisa cha samata kufika genk kupitia mazembe kutoka simba wakuu mwenye details atukumbushe,
Shadeeya
@100likes
Joseverest

kwenye hiyo mechi samatta alitupia ndio TP MAZEMBE wakamchukua...

FIRST LEG ILIKUWA NI 20/3/2011 TP MAZEMBE 3 - SIMBA 1
SECOND LEG IKAWA NI 3/4/2011 SIMBA 2 - TP MAZEMBE 3

FACT; NI MCHEZAJI MMOJA TU EMMANUEL OKWI NDIO ALIKUWA KWENYE KILE KIKOSI AMBAE HADI LEO YUPO NA NYIE, WAKATI HUO HUO TP MAZEMBE WALIKUWEPO Rainford Kalaba(yupo pia kwenye kikosi cha mwaka huu) na MIDFIELD MIHAYO KAZEMBE AMBAYE NDIO MANAGER/KOCHA WA TP MAZEMBE KWA SASA
 
Naona mmefufuka...baada ya kipigo cha lipuli na sisi baada ya kupiga ile mibasha yenu ya congo mlipotea..sahivi naona mmefufuka tena...nyie watu sijui mnaishije😂😂😂😂..mmekuwa malaya wa kuzishabikia timu za wenzenu..mara leo congo kesho waarabu huku timu lenu linakojolewa na kina lipuli😂
WOIII SEMA SANA, NYIE PIGWENI MJE MMALIZIE KIPORO CHENU HUKU
 
WOIII SEMA SANA, NYIE PIGWENI MJE MMALIZIE KIPORO CHENU HUKU
Tukipigwa kwenye hatua ambayo tangu unazaliwa hadi leo hujawahi iona yanga ikifika iyo hatua we hayakuhusu...we yanayokuhusu ni haya ya kupumuliwa na kina lipuli...mwaka huu kuna watu lazima mmepata vidonda vya tumbo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom