Labda jamaa ana hisahaa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.
KabisaPole mkuu. Yaonyesha hutaki hata kumsikia
Wale siyo watu wa mpira,bayern imejaa watu wasoka.haa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.
haa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.
Frantz Backenbauer,Ulli etc.Karl Heanz aliona mzee anafanya utani na Club yao ,wakati mwingine wanakwambia ni vigumu kufundisha timu kama bayern maana wakati mwingine pale wale wazee ni mafundi kuliko hata kocha mwenyewe
Mkuu hivi Ulli ameshatoka nyuma ya nondo? Maana mtu kama Frantz huwezi mdanganya maana ameshinda kila kitu kwenye maisha yake ya sokaFrantz Backenbauer,Ulli etc.