Klabu ya Bayern Munich yamtimua wake Kocha Carlo Ancelotti

haa hawa ndio wanaume, sio wale mabosi wangu pale london kwa washika mitutu.

Mabosi wako london hawashindwi kumuondoa asenane. Swali la kujiuliza kwanini wamuondoe ikiwa lengo lao linatimia? Kocha anafukuzwa akishindwa kufikia malengo.

Asenane haijawahi kushindania ubingwa tangu wamalize invicible season, wao wamekuwa washirikina tu. Muhimu wapate UCL spot tu
 
Kwa sasa nani anaweza kupewa mikoba ile maana bayern kubwa na manguli wa makombe makubwa naona kama wako kwenye tim zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom