Klabu Bingwa Afrika, Uwanja wa Taifa-Dar: Simba SC yairarua JS Saoura bila huruma goli 3-0

Ndio kazi ya shabiki hiyo maana shabiki ni mchezaji wa 12... wachezaji wanaakikisha ushindi ndani ya uwanja Mashabiki nje ya uwanja....nenda Africa kaskazini uone vitimbwi mafataki yatachomwa uwanjani tochi zitamulikwa golini kwa kipa wa timu pinzani yani vituko tupu hiyo ndio kazi ya mashabiki kama mchezaji wa 12

Sent using Jamii Forums mobile app
yani wewe usisome halafu siku ya mtihani utegemee chabo ndo ufaulu??
 
Sijui kwa nini natamani Simba ifungwe. Najaribu kujizuia nashindwa. Halafu napata maono mechi itaisha 2 - 1 in favour of Saoura. Sijui ni lini tu za Tanzania tutaacha kuwa kichwa cha mwendawazimu. Inasikitisha sana. Kelele nyiiingi, vitendo zero.
 
Back
Top Bottom