Mwenye line up ya kikosi cha Simba kinachoanza naomba atuwekee humu.
Tukutane baada ya game, hii comment utaifutaSimba akipona sana anakula 4-1
Boss wenu uvaaji wake niwa mashaka sana
Mnyama mkali Simba sc tafuna hao waarabu kina sauda
Naomba uwe online mda huo tuskimbianeTukutane baada ya game, hii comment utaifuta
Nipo Sana tuNaomba uwe online mda huo tuskimbiane
Hahahaaa. Ukae mpaka mwisho.Kila lakheri mnyama!
Kila la kheri Js Soura.
Nilijua tuKila la kheri Js Soura.
Yanga ikishiriki kimataifa misimu mitatu iliyopita mlikuwa mnahama hivyo hivyo.Mungu saidia Simba ishinde wakimbizi fc waumbuke maana hawajulikani jana walikua nkana leo wapo kwa waarabu keshokutwa watakua kwingine
😂😂😂 🙈Nilijua tu