KKKT Singida Usharika wa Emanuel

KKKT Singida Usharika wa Emanuel

Nilisali hapo hadi miaka ya 1990s mwanzoni,wakati huo mchungaji wa usharika ni marehemu Mch Shadrack Maghia,mmewe wa kwanza na Mwenyekiti wa ACT Tanzania Anna Mughwira,Mzee Mughwira ni maarufu sana usharikani hapo!
Nami nilipita hapo miaka hiyo. Mchungaji Shadrack (marehemu) alikuwa wa kupigiwa mfano na hasa alivyokuwa ameweza kuhimili matatizo ya mkewe Anna (mwenyekiti wa sasa wa ACT) maana huyo mama watu hawajui tuu bali ni tatizo. Anyway hayo sio mada hii tuyaache.
 
Ni kweli mkuu,mie pia marehemu Mch Maghiya alikuwa mtu wangu wa karibu,kama watu wangefahamu tabia ya huyu M/kiti wa ACT wangejiuliza mara mbili mbili kujiunga na chama hicho,cjui labda amebadilika katika utu uzima huu!nawafahamu pia watoto wake akina Fadhili
 
Nilisali hapo hadi miaka ya 1990s mwanzoni,wakati huo mchungaji wa usharika ni marehemu Mch Shadrack Maghia,mmewe wa kwanza na Mwenyekiti wa ACT Tanzania Anna Mughwira,Mzee Mughwira ni maarufu sana usharikani hapo!

Anna mughwira nae alikuwepo kwenye msafara wa mh. Nyalandu nae alikuwa na nia ya kugombea
 
Back
Top Bottom