ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,385
- 8,647
Hahaha karibu sana
Nimesema msamaria, ni kwaya ya Angaza, msamaria iko huku nilipo, miss home singida jamani
Hahaha karibu sana
Nimeumis sana Usharika wangu. Enzi hizo kushoto Msifuni, kulia Angaza. Thanks best kuturudisha home.
Umeona eeh! But Angaza was the best choir
Nimesema msamaria, ni kwaya ya Angaza, msamaria iko huku nilipo, miss home singida jamani
Hata Ally Keissy nae anautaka urais
Leo wanafunzi wa mwenge sec walikuwa wanazindua CD za nyimbo zao, walimualika mh. Lazaro nyalandu,
Cha kunifurahisha zaid msaidizj wa askofu akawa anamtania mh. Nyalandu et mgeni karibu ila naona mdomo unasema hapa milion kumi kabisaa hebu shika maiki uwasaidie vijana bwana
Hahaha mh. Nyalandu akasema maneno ya askofu huenda yalipangwa kasema, "KWA NIABA YA FAMILIA YANGU NA WASINDIKIZAJI WANGU NACHANGIA MILIONI KUMI"
Watu wote weweeeeee!! Makofi ya dk 3 hapo mchezo ukaisha
Karibuni nyumbani singida ninyi, hhahaha
Jamani wasalimie wanakwaya wa Msamaria na Msifuni
Tanzania mkuu, ya mungu mengi, lakini hata mm nilishtuka kusikia anatangaza nia kwasababu mara ya mwisho kwenye mkutano wake jimboni kwake ilongero aliwahi kusema atagombea urais mwaka 2020 iv kama sijakosea, lakini cjajua nia yake kugombea hivi sasa
Umenikumbusha mbali sana kuhusu Msifuni kwaya,hiyo Msamaria sikuiacha miaka ile ya mwishoni mwa 1980s na mwanzoni mwa 1990s,au kwaya ya Angaza ilibadili jina?nakumbuka enzi zile Kantate ilikuwa inasisimua sana hasa kwaya ya kijini Mwankoko!Vipi yule jamaa wa Msifuni (Moshi) aliyekuwa mrefu mji mzima (enzi hizo )pia msoma matangazo wa kanisa bado yupo?
Hao wanawake wa kwaya kuu angaza wapunguze vipodoz bana.wanatuharibia ibada
Da umenikumbusha mbali sana.kwaya master mr.dafi enzi hizo
Jamani wasalimie wanakwaya wa Msamaria na Msifuni
Hao wanawake wa kwaya kuu angaza wapunguze vipodoz bana.wanatuharibia ibada
Umetaja kwaya ya Msifuni umenipa raha fulani. Hapo ndipo nilipomuibua wife na akanikubali baada ya kuniona kila jumapili nakaa benchi la mbele kwa utulivu mkubwa. Sasa tuna miaka zaidi ya ishirini pamoja.
Salamu zangu kwa Msifuni kwaya.
Umenikumbusha mbali sana kuhusu Msifuni kwaya,hiyo Msamaria sikuiacha miaka ile ya mwishoni mwa 1980s na mwanzoni mwa 1990s,au kwaya ya Angaza ilibadili jina?nakumbuka enzi zile Kantate ilikuwa inasisimua sana hasa kwaya ya kijini Mwankoko!Vipi yule jamaa wa Msifuni (Moshi) aliyekuwa mrefu mji mzima (enzi hizo )pia msoma matangazo wa kanisa bado yupo?
Nilichanganya brother, nilimaanisha kwaya ya Angaza, Msamaria iko huku nilipo nao kuna miaka kadhaa iliyopita walikuwa wanatisha kama Angaza, ikifika siku ya Kantate Domino au mashindano ya kwaya hutamani siku iishe
Rais wa Tanzania awe nyalandu?