Mkuu Mungu alikupa akili itumie vema ! mimi nimeuliza swali kama huna jibu nyamaza! Mimi ni mLuther ila sijawhi shiriki kwa karibu katika michakato hii ,pengine ni sahihi au jamaa kadanganywa ! Ndio maana umeweka utambulisho wako hivo!Umeshamaliza ya huko kwenu mnakobakana??
Hapana kwenye Usharika wangu tuna uza maji ya chumvi pekee ,dumu Sh.100?=Alipe tu dini yenyewe imekuwa Pesa mbele,,, kwani ile biashara ya maji dollar 60 toka Nigeria kwa jina anoited watera imeishia wapi?
Hupendeki kwa kweli KKKT=Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TANZANIA! AU ulitaka niandike Tanganyika ndio ungenielewa !Mh kichwa cha habari kimebeba KKKT dunia nzima, kumbe ni branch.
Sina jipya ila tu kuwa siyo wote wapo hivyo. Thanks
Hapana kwenye Usharika wangu tuna uza maji ya chumvi pekee ,dumu Sh.100?=
Amini ninachokuambia ameambiwa atoe laki mojaHakuna
Hii Habari itakuwa imewekwa chumvi kiasi kinacholipiwa ni cheti nacho sio Laki ni elfu kumi
kama laki moja ya kufungisha ndoa inamshinda hivi hata mahari aliweza kulipa kweli?
Mwanamke wake namwonea huruma kaolewa na lofa wa kutupwa.mbona atakoma.
Mpe pole huyo mwanamke kwa kuolewa na lofa wa kutupwa kama huyo.
mh naona wewe ni mzee wa usharika si wa kanisa! Ahsante kwa taarifa ,cheti cha ndoa laki moja ! Haya bhana wahi nyumbani ukajiandae kuandika matangazo ya jumapili hizo ndio kazi zenu wazee wa usharika ...sisi wazee wa kanisa lazima tuhoji ili tusije enda tofauti na imani ya kristo!kwanza ni aibu saaana kwa wewe mzee wa kanisa kutokujua mambo kama haya. Kifupi umeshafeli katika hilo na ninavyowajua walutheri hauna hata miezi mitano tangu uchaguliwe si ajabu hata matangazo ya jumapili haujasoma hata mara moja. Unagopa kumpigia simu mhunaji shame onu mzee wa kanisa!!!!
Mimi ni mzee wa kanisa mzoefu kwa kukusaidia hizi ni gharama za cheti cha ndoa.