GE2025 KKKT Dayosisi ya Karagwe yatangaza jumapili ya Agosti 31, mitaa yote ifanye maombi kuenzi haki na amani

GE2025 KKKT Dayosisi ya Karagwe yatangaza jumapili ya Agosti 31, mitaa yote ifanye maombi kuenzi haki na amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
TWENDE MAGOTINI KWA NIA NA IMANI
Jumapili ya 10 baada ya UTATU, KKKT utafakari juu ya HAKI HUINUA TAIFA, na DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE.
Tumo katika juma hilo. Tunaalikwa sote kumlilia Mungu ili tusitenganishe HAKI na AMANI.

1. Kama HAKI huinua Taifa, basi dhuluma huangusha taifa.

2. Ili kuifikia Amani ilikofichwa, tunaalikwa kufungua sanduku la haki. Tutaikuta amani ndani ya sanduku hilo.

Dayosisi ya Karagwe ya KKKT tutafunga kwa masaa 24 kuanzia jumamosi 30/8 hadi 31/8/2025.
Haki na Amani viwe kwenu.
1756277069017.png
 
Back
Top Bottom