Kizuri kula na wakezo...

Kizuri kula na wakezo...

SupuyaPweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
914
Reaction score
472
Mukulu akigawa likeki lake la sikukuu...

zuma n wives.jpg
:wink2:
 
Huyu mkristo wa kidigitari mwenye wake Zaidi ya mmoja anafaudu kweli!,swali je wote wanapata haki zao za uroda sawia kulinganisha na umri wake?...happy b/day Zuma...
 
First ladies.. first lady1, first lady2 et cetera..
 
Huyu mkristo wa kidigitari mwenye wake Zaidi ya mmoja anafaudu kweli!,swali je wote wanapata haki zao za uroda sawia kulinganisha na umri wake?...happy b/day Zuma...

Bora huyu wote wako hadharani... wengine humtambulisha mmoja kuuumbee! wako kibao...
 
Back
Top Bottom