Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,312
- 144,680
ni jina tuu kama Makidonadi, Kentaki fraid chiken na Tenesee fraid chiken!. Natumaini utakuwa unenipata.
burger ndio nn sasa, naona mnataja majina ya watu mara mc donards anafanyia shughuli zake za umc ukumbi gani tujuzane basi
Hapa kwetu Arusha kuna sehemu wanatengeneza Burger za Senene! Wenyekutaka kujua pahali zinapopatikana ni PM nitawajulisha bila kusahau Trouper la Viwavijeshi!
Kweli tanzania kuna matabaka,wa2 bdo 2nashndia ntuntunya na nyanya chungu,nyie mwatutajia cjui bugru cjui brego.haya bwna cku ya mwsho mtayajibu kwa mungu.
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.
Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.
Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.
Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regrate!.
hahahahahahah wabongo wana mambo....eti Mungiki!Pasco ndugu yangu, zile hamburg kwa kweli wanajitahidi.
Kuna siku jamaa yangu alimpeleka demu pale wa chuo flani opposite na mahakama ya kazi, demu alizifinya chicken burger mbili na vichips akazifuta zote then akashushia na sprite ya kopo! Mimacho ilimtoka jamaa! Toka siku ile anamuita MUNGIKI.
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.
Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or Tenesse etc, mkirudi nyumbani bongo, sasa mambo hayo yapo!. Karibu kila petrol station kubwa jirani kuna kibanda cha burger, tatizo ni hizo burger zenyewe!.
Miongoni mwa wanaojitahidi sana kufanania na Mcdonalds angalau angalau ni kile kibanda pale Petrol Station ya Morocco!.
Mkirejea nyumbani, ukijiona umemiss sana burger, karibu hapo Morroco you'll never regrate!.
na kwa nini mtu ukimkuta ndo amekushikia hiyo burger utasikia akiongea na mwenzake lazima aseme u know....u know.....oh my god......u know worra am say,
hivi huwa burger inakilevi ama?
Sili ng'o.