wanaume bwana,
kwanini uwe na uamuzi wa mwisho?
kwa nini msiwe na uamuzi wa pamoja? kujadiliana kwa pamoja nini cha kufanya?
kwa nini msipange priority zenu pamoja?
kwa nini msishirikiane kwa pamoja?
mtabishana humuuu weeeeeeee, mtajiita vichwa aka taasisi huru weeee...
lakini mwisho wa siku nyumba yenye mafanikio ni ile inayosikilizana na kushirikiana kwa pamoja, ambayo kila mwanandoa anaweza kujieleza kwa uhuru
wanaume bwana,
kwanini uwe na uamuzi wa mwisho?
kwa nini msiwe na uamuzi wa pamoja? kujadiliana kwa pamoja nini cha kufanya?
kwa nini msipange priority zenu pamoja?
kwa nini msishirikiane kwa pamoja?
mtabishana humuuu weeeeeeee, mtajiita vichwa aka taasisi huru weeee...
lakini mwisho wa siku nyumba yenye mafanikio ni ile inayosikilizana na kushirikiana kwa pamoja, ambayo kila mwanandoa anaweza kujieleza kwa uhuru
Hii nimeipenda sana, mara nyingi mwanaume huwa ni kichwa cha familia. Siamini kwenye dini illa huwa nachukulia bible na quran kuwa ni life principle books au life experience books. Kwanza kwa mwanamke anayependa usawa kwa vitendo huwa wanaachika sana hakai na mwanamme mmoja hata siku moja. uzuri ni kwamba wengi wao huwa ni maneno tu ukimkuta kwake yuko chini kabisaaaaa, nina mifano mingi tu mimi ni mtu mzima. Anayelalama kutaka usawa ujue kwake mpole sana tu. Anataka mifano ya kumpa mumewe
Mali hizo ukiwa peke yako unao uwezo wa kuzi-manage bila madhara. Ila ukiwa na mme wako hutaweza kwa ufanisi uleule kwa kuwa hata madaraka madogo uliyopewa ndani ya bustani ya edeni uliyatumia vibaya. Mwenyezi Mungu akakupokonya madaraka akampa mwanaume i.e ulishindwa kujiongoza kwa ufanisiwanaume bwana,kwanini uwe na uamuzi wa mwisho?kwa nini msiwe na uamuzi wa pamoja? kujadiliana kwa pamoja nini cha kufanya?kwa nini msipange priority zenu pamoja?kwa nini msishirikiane kwa pamoja?mtabishana humuuu weeeeeeee, mtajiita vichwa aka taasisi huru weeee...lakini mwisho wa siku nyumba yenye mafanikio ni ile inayosikilizana na kushirikiana kwa pamoja, ambayo kila mwanandoa anaweza kujieleza kwa uhuru
Mali hizo ukiwa peke yako unao uwezo wa kuzi-manage bila madhara. Ila ukiwa na mme wako hutaweza kwa ufanisi uleule kwa kuwa hata madaraka madogo uliyopewa ndani ya bustani ya edeni uliyatumia vibaya. Mwenyezi Mungu akakupokonya madaraka akampa mwanaume i.e ulishindwa kujiongoza kwa ufanisi
Katika hili mm naamin km nitakuwa na kipato kikubwa kuliko mme wangu,
Kipato changu hakina nafasi ya kubalidi wadhifa wa mume kwenye ndoa,
Hata nina pesa kiasi gani nilishindwa kuwa peke yangu,ndio maana nikamkubali kuolewa naye na kila kilichokuwa changu inakuwa vyetu wote km tulivyoamua kuwa mwili mmoja,
Pamoja na kushirikishana ktk maamuzi na kila jambo bado yy atabaki kuwa mwenye maamuzi ya mwisho km baba wa familia.
So hata mali alizozitafuta mwenyewe hatakua na sauti au maamuzi nazo?
Asante Eiyer,I like this Canta!Natamani ingekuwa hivi kwa wanawake wote!
Kama na mimi nina mali ambazo zinatosheleza familia, nitamwacha mali zake aamue yeye mwenyewe ili mradi anazitumia vizuri lakini kama matumizi hayatakuwa mazuri lazima niingilie bila kujali alizipata kabla ya ndoa au baada ya ndoa.Nakubaliana na wewe,but vipi huhusu mali za mwanamke alizochuma kabla ya kuolewa na mume,zitakuwa chini ya nani?